Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijasahihisha neno lolote uliloandika.Nakwambia hiviii nawapa pongezi mashabiki wa Simba ww hii haikuhusu labda kama una hoja nyingine nikusikilize...
Kama hoja yako ni hyo hapo juu huku kwetu unyamani haina mashiko...
Huku kwetu mkuu Tate Mkuu huku kwetu ni pongezi kwa timu na mashabiki kwa spirit waliyonayo...
Sadio kanute sijakuelewa hapo...KUHUSU SUALA LA USAJILI.
NASHAURI YAFUATAYO.
1. NIMESIKITIKA UONGOZI KUMUACHA BENO KAKOLANYA.
Kupata Golikipa aina ya kakolanya itakuwa mtihani mkubwa sana.
Sijui kama Tutakuwa na Golikipa No 2 mwenye ubora wa Kakolanya.
Sijui kama hatutaenda Nje kutafuta mbadala wa MANURA.
2.UBAHILI NA 10% KWENYE IDARA YA USAJILI.
tumeshuhudia wakiletwa wachezaji cheep mno kwenye usajili wachezaji wenye uwezo mdogo sana na gharama ndogo sama
3. USAJILI WA QUALITY NDOGO NA KUKOSA SCAUT WAZURI.
I. Ismail sawadogo.
II .mohamed Qottara
III. Augustino Okkrah. (9)
IV. Peter Banda.
V. Sadio Kanute atafutiwe mbadala(8)
VI. Sackho nae Atupishe.
4. WACHEZAJI WAZAWA NAPO NI SHIDA.
Changamoto ya umli.
Nyoni, Boko, mkude,
Viwango vidogo.
Kapama, Gadiel, Mwanuke,
MASHABIKI TUMECHOSHWA KUISHIA ROBO FAINALI.
TUNA HELA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA USAJILI.
HELA YA SUPER CUP 4 BILION.
HELA YA CAF. CAFCL 2 BILION
UONGOZI PUNGUZENI UBAHILI
ROBERTINO ASAJILI.
Sanaaaa,maana walijua ni kipigo heavy kitatokea ndani ya dakika 90.Na imewaumiza huwezi amini
Huwa mna kawaida ya kupokea kila kitu airport.Mtakaribishwa mlipokee hilo kombe.Mazuzu!Tumewaandikia barua CAF...Wawatengenezee kombe la robo final...
Sasa ndiyo umeandika nini hapa!Sentensi hiyo haujakaa vema."Kaka zenu"?Timbwilitimbwili ndiyo akina kaka?Ni makaka wenye utaahira!😂😂😂
Nimezunguka tu.Ila,Yanga ni utopolo.Inajulikana kimataifa.Hata Zolan wanajua.😜Sasa ndiyo umeandika nini hapa!
Basi na mimi nichukue nafasi hii kuwapongeza kwa kuishia hatua ya robo fainali.Nakwambia hiviii nawapa pongezi mashabiki wa Simba ww hii haikuhusu labda kama una hoja nyingine nikusikilize...
Kama hoja yako ni hyo hapo juu huku kwetu unyamani haina mashiko...
Huku kwetu mkuu Tate Mkuu huku kwetu ni pongezi kwa timu na mashabiki kwa spirit waliyonayo...
Yaani tutoke kushangilia mieleka turudi kwenye rede?Anyway,nitajitahidi mtani.😂😂😂Basi na mimi nichukue nafasi hii kuwapongeza kwa kuishia hatua ya robo fainali.
Sasa Taifa limebakiwa na timu moja pekee inayoitwa Young Africans katika haya mashindano ya CAF. Ikiwezekana mashabiki wa simba wote mjitokeze kwa wingi hiyo kesho kuwashangilia Wananchi wa Tanzania.
Sema mashindano ya CAF kombe la waliofeli aka vilazaBasi na mimi nichukue nafasi hii kuwapongeza kwa kuishia hatua ya robo fainali.
Sasa Taifa limebakiwa na timu moja pekee inayoitwa Young Africans katika haya mashindano ya CAF. Ikiwezekana mashabiki wa simba wote mjitokeze kwa wingi hiyo kesho kuwashangilia Wananchi wa Tanzania.
Sisi ya Yanga hayatuhusu hapa ...Basi na mimi nichukue nafasi hii kuwapongeza kwa kuishia hatua ya robo fainali.
Sasa Taifa limebakiwa na timu moja pekee inayoitwa Young Africans katika haya mashindano ya CAF. Ikiwezekana mashabiki wa simba wote mjitokeze kwa wingi hiyo kesho kuwashangilia Wananchi wa Tanzania.
Wakikumbuka Simba haitetemeshwi na mabingwa watetezi...maana na wao uto walipewa kipigo heavy cha 2 kwa nunge..Sanaaaa,maana walijua ni kipigo heavy kitatokea ndani ya dakika 90.
Sasa hiyo ya kutoka kwa penalts imewauma sn.Na vile Simba katikisa Morocco na kuwafanya wabaki kimyaaaaa imewauma sn sn