wanakusudia shida ya msingi ni mfumo/chama, hivyo ndio maana wanasema wamalize ktk vikao vyao waje watutangazie rais wenu ni XXHata hilo halitakuwa suluhisho; maana matokeo ni yaleyale. Kwa nini mtu huyo anayeitaka sana hiyo nafasi asijitangaze tu yeye mwenyewe na iishie hapo!
Sasa waTanzania wanauliwa tu hivi, kwa sababu ya yeye kutaka kuwa mtawala wa nchi, ya nini kuwa na usumbufu wote huo!