Pongezi kwa mbunge wa Segerea. Anapambana sana kwa ajili yetu

Pongezi kwa mbunge wa Segerea. Anapambana sana kwa ajili yetu

Juz juz alilalamika daraja kufungwa mwaka mzima hapo hapo wakalifungua
 
Hapo anaandika akiwa bar amechomewa nyama na konyangi anajiona kama yupo Tokyo, mwenzake ameiba mabilioni ya wananchi wanyonge na familia ake inaishi kama ipo mbinguni.
Chawa hawana maisha, hawana vitega uchumi, maisha yao ni magumu mno, naishi nao, nawachora tu, ila sitaki kabisaaa mazoea nao, kazi yao kubwa ni kusifu, kukopa Pesa, kununuliwa bia na kubet.
 
Aisee maendeleo yanatembea kwa kasi sana. Nmeshuhudia maboresho mbali mbali ya barabara na madalaja ,mashule n.k
Anaupiga mwingi Pongezi Mbunge wangu Bonna Ladislaus Kamoli
Mume wake alijitolea mamilioni katika kampeni za ubunge wake, kufika bungeni akaanza "kugawa", mpaka mume wake akamfumania live, akamuacha....
 
Ila machawa mnakera sana sanaa alafu vijana wadogo sasa hivi wamekuwa chawa na wanaona fahari kabisaa, nchi inapoteza watu wa maana kwa kuendekeza uchawa inahuzunisha sana
 
Back
Top Bottom