Pongezi kwa mbunge wa Segerea. Anapambana sana kwa ajili yetu

Pongezi kwa mbunge wa Segerea. Anapambana sana kwa ajili yetu

Aisee maendeleo yanatembea kwa kasi sana. Nmeshuhudia maboresho mbali mbali ya barabara na madalaja ,mashule n.k
Anaupiga mwingi Pongezi Mbunge wangu Bonna Ladislaus Kamoli
UCHAWA WAKO MDOGO MDOGO SANA.UNAPATA NINI HASA?
 
Ukute ni Bona mwenyewe kaamua kuja kihivi. Segerea hawana hamu na huyu mbunge!

Ila in all, umechelewa sana maadam kupima upepo, huu uzi ulitakiwa uutume last year January
 
Aisee maendeleo yanatembea kwa kasi sana. Nmeshuhudia maboresho mbali mbali ya barabara na madalaja ,mashule n.k
Anaupiga mwingi Pongezi Mbunge wangu Bonna Ladislaus Kamoli
well done comrade mh.Bonna L. Kamoli, mtu wa kusema na kutenda.
Next week nikiwa dar nitakusabahi kwa ofisi yako hapo segerea 👊💪
 
Kampeni zimeanza za chini chini, Bona hakuna chochote alichofanya
 
Ukute ni Bona mwenyewe kaamua kuja kihivi. Segerea hawana hamu na huyu mbunge!

Ila in all, umechelewa sana maadam kupima upepm, huu uzi ulitakiwa uutume last year January
😂😂😂 bado anahema
 
Attachments

  • IMG_3012.jpeg
    IMG_3012.jpeg
    69.3 KB · Views: 2
Umenunuliwa ka konyagi size ya kati kitambaa cheupe hapo umelewa unakuja kutupanga hapa
 
Mkuu segerea gani unaongelea? Huyu mama tunahangaika naye kinyerezi huku hakuna kitu....
 
Shida ipo jimbo la kawe. Maendeleo ya ujenzi wa barabara yapo kidogo mno !!!!! Lazima uchaguzi ujao hili jambo tulitumie kupima mbunge aliyopo madarakani.
 
Join Tuesday!! Kazi imeanza buku 7 kwa siku. Inakutosha kweli?

KAZI ni kipimo cha UTU
 
😄 😄

Ova
mrangi,
tukutane hapo segerea kwa bibi tumsabahi mtendaji wa mtaa wa segerea hapo toto tundu, kisha tuelekee ofisi za kata jirani na kanisa katoliki tumsabahi mh.mbunge,

Kwan kuna Tatizo 🐒
 
Chawa hawana maisha, hawana vitega uchumi, maisha yao ni magumu mno, naishi nao, nawachora tu, ila sitaki kabisaaa mazoea nao, kazi yao kubwa ni kusifu, kukopa Pesa, kununuliwa bia na kubet.
Ww mm ni professional civil Engineer
 
Chawa hawana maisha, hawana vitega uchumi, maisha yao ni magumu mno, naishi nao, nawachora tu, ila sitaki kabisaaa mazoea nao, kazi yao kubwa ni kusifu, kukopa Pesa, kununuliwa bia na kubet.
Ww mm ni professional civil
 
Mbunge wa segerea kaiweza nafasi ya Uwaziri kuliko ubunge!

Kuna mtu anaitwa BASHUNGWA AMEWEZA ZOTE,

Mamlaka zinamuangalia Kama presidential material

Siongei mengi

Britanicca
 
mrangi,
tukutane hapo segerea kwa bibi tumsabahi mtendaji wa mtaa wa segerea hapo toto tundu, kisha tuelekee ofisi za kata jirani na kanisa katoliki tumsabahi mh.mbunge,

Kwan kuna Tatizo 🐒
Duh,pole kwa sasa niko mbali
Na hata huo uchaguzi sijuwi kama
Utanikuta...

Ova
 
Back
Top Bottom