stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Unataka kila kukicha wote tukosoe hata kwenye ukweli tusiseme?Chawa kazini
Hapo kapewa konyangi size ya kati na joto la Dar tayari anaona maendeleo tupuChawa kazini
Unataka kila kukicha wote tukosoe hata kwenye ukweli tusiseme?
Wabeba usahaHapo kapewa konyangi size ya kati na joto la Dar tayari anaona maendeleo tupu
Hapo kapewa konyangi size ya kati na joto la Dar tayari anaona maendeleo tupu
Mmmh wivuWabeba usaha
Chawa ni wajinga snWabeba usaha
Piga picha uonyeshe hayo maendeleo? watu wanaiba mabilioni huko kwenye bunge fake wanakuja kuwachomea nyama na kuwapa konyagi mnaona kama mnaishi ParisMmmh wivu
Shenzi kabisa 🤣Chawa umepewa bia 2 umekuja kuandika upuuzi wako hapa
Wanaangalia matumbo yao tu, wapuuzi kweli kweliChawa ni wajinga sn
Hapo anaandika akiwa bar amechomewa nyama na konyangi anajiona kama yupo Tokyo, mwenzake ameiba mabilioni ya wananchi wanyonge na familia ake inaishi kama ipo mbinguni.Wanaangalia matumbo yao tu, wapuuzi kweli kweli
Chawa hawana maisha, hawana vitega uchumi, maisha yao ni magumu mno, naishi nao, nawachora tu, ila sitaki kabisaaa mazoea nao, kazi yao kubwa ni kusifu, kukopa Pesa, kununuliwa bia na kubet.Hapo anaandika akiwa bar amechomewa nyama na konyangi anajiona kama yupo Tokyo, mwenzake ameiba mabilioni ya wananchi wanyonge na familia ake inaishi kama ipo mbinguni.
Mume wake alijitolea mamilioni katika kampeni za ubunge wake, kufika bungeni akaanza "kugawa", mpaka mume wake akamfumania live, akamuacha....Aisee maendeleo yanatembea kwa kasi sana. Nmeshuhudia maboresho mbali mbali ya barabara na madalaja ,mashule n.k
Anaupiga mwingi Pongezi Mbunge wangu Bonna Ladislaus Kamoli