Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
UCHAWA WAKO MDOGO MDOGO SANA.UNAPATA NINI HASA?Aisee maendeleo yanatembea kwa kasi sana. Nmeshuhudia maboresho mbali mbali ya barabara na madalaja ,mashule n.k
Anaupiga mwingi Pongezi Mbunge wangu Bonna Ladislaus Kamoli
well done comrade mh.Bonna L. Kamoli, mtu wa kusema na kutenda.Aisee maendeleo yanatembea kwa kasi sana. Nmeshuhudia maboresho mbali mbali ya barabara na madalaja ,mashule n.k
Anaupiga mwingi Pongezi Mbunge wangu Bonna Ladislaus Kamoli
πππ bado anahemaUkute ni Bona mwenyewe kaamua kuja kihivi. Segerea hawana hamu na huyu mbunge!
Ila in all, umechelewa sana maadam kupima upepm, huu uzi ulitakiwa uutume last year January
Bonna kashindwa issue ya fidia Kipunguni A hana lolote huyo atapigwa chini tu.Kampeni zimeanza za chini chini, Bona hakuna chochote alichofanya
Mpodido ulimbeba hana jipyaBonna kashindwa issue ya fidia Kipunguni A hana lolote huyo atapigwa chini tu.
Hivi ndiyo huyo alikuwa anaitwa Bona Kalua?Ok.Aisee maendeleo yanatembea kwa kasi sana. Nmeshuhudia maboresho mbali mbali ya barabara na madalaja ,mashule n.k
Anaupiga mwingi Pongezi Mbunge wangu Bonna Ladislaus Kamoli
π πwell done comrade mh.Bonna L. Kamoli, mtu wa kusema na kutenda.
Next week nikiwa dar nitakusabahi kwa ofisi yako hapo segerea ππͺ
mrangi,π π
Ova
Ww mm ni professional civil EngineerChawa hawana maisha, hawana vitega uchumi, maisha yao ni magumu mno, naishi nao, nawachora tu, ila sitaki kabisaaa mazoea nao, kazi yao kubwa ni kusifu, kukopa Pesa, kununuliwa bia na kubet.
Ww mm ni professional civilChawa hawana maisha, hawana vitega uchumi, maisha yao ni magumu mno, naishi nao, nawachora tu, ila sitaki kabisaaa mazoea nao, kazi yao kubwa ni kusifu, kukopa Pesa, kununuliwa bia na kubet.
Duh,pole kwa sasa niko mbalimrangi,
tukutane hapo segerea kwa bibi tumsabahi mtendaji wa mtaa wa segerea hapo toto tundu, kisha tuelekee ofisi za kata jirani na kanisa katoliki tumsabahi mh.mbunge,
Kwan kuna Tatizo π