Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Mkuu Iconoclastes unajitahidi sana kutumia kiswahili kama cha kibongo. Nahisi unaishi au uliishi mazingira ambayo wanazungumza kiswahili kwa kiasi kikubwa kuliko maeneo mengi ya Kenya.Na je, ukiwa unaishi kwenye mazingira ambamo lugha yenyewe haizungumzwi katika uhalisia wake? Kwahivyo, sidhani ni mazoea, ni mazingira ya eneo ulikokulia.
Mtoto mtanzania mwenye umri wa miaka tano akija huku Kenya, itachukua miezi michache tu aanze kusahau ile Kiiswahili chake cha kibongo, vv for mtoto kutoka Kenya akihamishwa Tanzania.