tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Nawe bibi mbona unataka kutuharibia mada. Hii yako ni mada mpya ifungulie uzi.Biashara ya utumwa ipo Tanzania, tena imeshamiri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe bibi mbona unataka kutuharibia mada. Hii yako ni mada mpya ifungulie uzi.Biashara ya utumwa ipo Tanzania, tena imeshamiri sana.
Ubarikiwe sana kiongozi. Tupo pamoja katika ujenzi wa taifa.Shukrani kwa ushirikiano wako. Namba zangu ziko wazi kwa kupokea ujumbe wa kuandika tu kama kupiga napiga mwenyewe. Nazo ni 0765345777 na copy 0734124191. Namshukuru Mungu huduma hii ninayo tangu mwaka 2003 bahati mbaya sikuwa na Majukwaa ya online. Nakushukuru kwa ushirikiano wako 🙏🏽 wape na wengine ila waambie waandike ujumbe pia watumie mifumo rasmi maana huwa napenda kwangu iwe rufaa Ili nijue pia nani hatimizi wajibu wake vema chini yangu au anatimiza vema🙏🏽
EDIT NAMBA hapo revised kulikuwa na error tpaul
Sijambo kabisa Mheshimiwa na shikamoo sanaa.sisi huku ni kwema kabisa. Naomba mwakani uchukue Fomu ya Ubunge .tutapiga kampeni sana kwa ajili yako Mheshimiwa. Wewe ni Mfano wa kuigwa sana. Unawakosha sana watanzania bila kujali vyama vyao.😅Hujambo? Heri ya siku ya leo huko uliko
Sijambo, hofu kwako mh.Hujambo? Sasa kama haikumalizwa huko iliko na ikafika kwa mwingine, naye asiimalize? Na kama katika kumaliza huko umetumika utaratibu ambao ni WA kujiongeza, watu wasipewe maua yao? Maana kuna hard infrastructure na kuna soft infrastructure. Kuwepo kwa miundo mbinu migumu bila laini kufanya kazi siku zote ni mtihani..... Wanastahili PONGEZI maana wangeweza pia kuamua liende kwenye huo utaratibu mwingine ingekuwa dakika tu chache mtoto ashushwe mahali ambapo, mimi na wewe tusingejua mengi. Naendelea kuwapongeza mimi ambaye niliiona hiyo hatari.....
Ukipiga mpira dakika za majeruhi mfano dakika ya 85 ukafunga mawili ya haraka haraka hupongezi?
Hujambo lakini huko uliko 🥹🇹🇿
Bora umsihi mapema, hawachelewi kujitoa ufahamu ili yao yawaendee.. Mwishowe tunakuwa taifa la hovyo kabisa, taifa la kujipemdekeza ili upate nafasi, watu hawatizami utendaji wako ni unajipemdekeza kiasi gani kwa mkubwa wa cheo.Nakushauri tu Kwa utendaji wako wa kazi usije kuthubutu kujidhalilisha kama JENISTA
Apongezaye hutia moyo na kuhamasisha na kutangaza jambo ambapo, watu wengi huja pia kuangalia kulikoni🥹🥹🥹 nao hupata na taarifa kuwa jamani kaeni chonjo kuna haya nayo. Hivyo, pongezi Zina faida Sana kimtazamo ilimradi tu ziwe za haki. Naendelea kuwapongeza na kukupongeza na wewe uliyetembelea mjadala. Naomba waambie wa kwenye mtaa wako kuwa, wawe makini na usafirishaji haramu wa watoto na pia wawe macho safarini kuna mengiSijambo, hofu kwako mh.
Hii ni sawa na kuwasha chainsaw ukaukata mgomba kisha unataka usifiwe.
Sote hiyo hatari tumeiona, hakukuwa na haja ya kuja hapa kupongezaaana, ungekaa kimya ingekuwa hajafanya kazi? Ama wewe ungekuwa hujafanya kazi, una mazuri mangapi hujawahi jitangaza, je hili ndio la kwanza ama kubwa zaidi?
Hapa kilichofanyika ni tangazo la kwamba kazi inafanyika.
Kwenye mfano wako wa dk 85, mtu afunge goli 2, inategemea na situation kama mlikuwa mnaongoza 7, hizi mbili hazina maana, kama mlikuwa mnaongozwa au bila bila, hizi 2 ukifunga utapongezwa mnooo, sababu itakuwa jambo la maana saaana umefanya,
Sasa nataka kukuuliza mh. Je, huyo mkuu wa mkoa hili ndio la maana sana kuwahi kufanya kiasi jambo kama hili mumpe pongezi utafikiri kaliokoa taifa kwenye midomo ya madhalimu.
Ushawahi kuona mume anapewa pongezi kwa kumtia mimba mkewe? Kama ambavyo mwanamke anavyopewa pongezi baada ya kujifungua? 😂
Mimi sijambo, we haujambo huko uliko?
Yuko kama Jerry Silaa! Mungu azidi kuwalinda na husuda za wanadamu,maana ukisimamia haki nchi hii unakua na maadui wengi wasiopenda haki itendeke!!Dr Gwqjima anafanya kazi nzuri sana. Ni miongoni mwa mawaziri ambao wanatoa majibu kwa wakati.
Hongera sana mama
Upya wake nini?Nawe bibi mbona unataka kutuharibia mada. Hii yako ni mada mpya ifungulie uzi.
Sasa ndg yangu issue ikisha fika kwa RC,hiyo automatically ishaingia chini ya Wizara ya mambo ya ndani, maana pale kwenye kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa yupo pia RPC!!Shirikiana na Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi ili kuwa na majibu na kuondoa wasiwasi kwa wananchi,kuhusiana na mambo yanayohusu wananchi kwa ujumla.
Kwa Sasa hivi mambo yamekuwa ndivyo sivyo kuanzia watoto,vijana na hata Wazee kujihusisha na Imani mbovu za kishirikina na Imani z kupata Mali na madaraka.
Badala ya kutumia nguvu nyingi kwenye kuzuia maandamano,tungekaa na watendaji wa vijiji wananchi wa kawaida kila kata,kila kiongozi haya mambo ya geisha kabisa kama sio kupunguza.
Na elimu itolewe hakuna mtoto kusafiri kama mzigo au Bahasha lazima aambatane na mtu mzima na ijulikane uhusiano wake na ikibidi barua ya huko atokako na namba za simu za huyo aliyeidhinisha barua, Ahsante.
Hujambo? Ahsante kwa swali zuri. Naomba tuandae vema wasilisho eneo hili tutakuwa na thread yake maalumu tafadhali nakuahidi. ShukraniMheshimiwa Dr Dorothy Gwajima, ninaomba tujadili masuala yafuatayo kuhusu mikopo inayotolewa na halmashauri nchini
1. Uratibu wa Mikopo:
Je, wizara yako inahusika katika uratibu wa mikopo hii? Kuna mchakato wowote ambao wizara inashiriki katika kuhakikisha mikopo hii inawafikia watu walio kusudiwa?
2. Mikopo kwa Walemavu:
Ikiwa walemavu watapewa mikopo na kisha kushindwa kuirejesha, ni hatua gani zitachukuliwa dhidi yao? Je, kuna mpango wowote wa kuwasaidia ili waweze kurejesha mikopo hiyo?
3. Chanzo cha Mikopo:
Mikopo hii ni ya halmashauri pekee au inahusisha fedha kutoka kwa Rais Samia? Kuna tofauti yoyote katika vigezo vya mikopo hii kulingana na chanzo chake?
4. Uhusiano wa Kisiasa:
Je, kuna uhusiano wowote kati ya mikopo hii na siasa? Walemavu na vijana wa vyama vya upinzani wanaweza kunufaika na mikopo hii? Ni vigezo gani vinatumika katika kutoa mikopo hii?
5. Madiwani wa Viti Maalum: Madiwani wa viti maalum wanapata faida gani kutokana na mikopo hii? Je, ni wajibu wao kuhamasisha au ni wanufaika?
6. Mbinu za Wizara:
Ikiwa wizara yako inahusika, ni mbinu gani zitakazotumika kuwafikia na kuwajua walemavu wa vijijini ili waweze kunufaika na mikopo hii? Je, kuna mipango maalum ya usajili ambayo itatekelezwa?
7.Je, kuna mipango ya kutoa mafunzo kwa walemavu kuhusu jinsi ya kutumia mikopo hiyo?
Maswali haya yanahusisha masuala muhimu yanayohusiana na mikopo na jinsi inavyoweza kuwafaidi walemavu na jamii kwa ujumla.
Ningependa kupata ufafanuzi kuhusu jinsi wizara inavyopanga kutekeleza mipango hii na kuhakikisha kwamba rasilimali zinawafikia wahusika.
Hapo bado haijajulikana bibi. Subiri kwanza vyombo vya ulinzi vikamilishe upelelezi. Walimwengu wana mambo mengi sana.Upya wake nini?
Huyo binti alikuwa anapelekwa wapi kama siyo utumwani?
Tatizo lilolopo na ambalo ninahitaji kutatuliwa na kulifuta, ni RC na DC kuwa wajumbe wa kamati za siasa za chama mkoa na wilaya!Sasa ndg yangu issue ikisha fika kwa RC,hiyo automatically ishaingia chini ya Wizara ya mambo ya ndani, maana pale kwenye kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa yupo pia RPC!!
Hakika, mkuu wa mkoa ma wilaya wanazo sekta zote chini yao tofauti na wizara zilivyo. Hivyo, madaraka yalipogatuliwa kwenda chini karibu na wananchi yalienda na nguvu kubwa chini yao. Hili nalo somo la mjadala siku ingine kuhusu DxDSasa ndg yangu issue ikisha fika kwa RC,hiyo automatically ishaingia chini ya Wizara ya mambo ya ndani, maana pale kwenye kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa yupo pia RPC!!
Msikikize mkuu wa mkoa kasema nini.Hapo bado haijajulikana bibi. Subiri kwanza vyombo vya ulinzi vikamilishe upelelezi. Walimwengu wana mambo mengi sana.