Pongezi kwa Rais Magufuli kusitisha Bomoa Bomoa kwa kuongeza kigezo cha "Human Face". He's so Human!

Kwani Rais alishindwa kusema nasitisha bomoabomoa nchi nzima, kama kweli alimaanisha hivyo? Ni mbinafsi, mbaguzi, mkabila na mtu wa visasi. Amedhihirisha kuwa yeye ni anaendesha nchi kwa misingi ya ubaguzi wa kivyama, kikabila na kikanda full stop.
pascal anaing'onga serikali tu huyo !mimi nimemuelewa vizuri tu we subiri setrikali itakavyo hangaika na ufafanuzi wa kipuuzi ohh muheshimiwa hajui kiswahili ooh alikuwa anaringishia watani wake wazaramu kuwa hawabomolei wasukuma wenzake kwa hiyo ule ni utani tu kwa wazaramu nao watabomolewa tu!
 
Ngonja tuone kama kuna mwenye akili atakayekuja kuitafsiri hii kauli dhalili ya 'mtukufu' wa magogoni aliyepewa uraisi na watu wa Mwanza. Watanzania hawawezi kuwa wadanganika siku zote. Wamemsikia na kumwelewa vema raisi.
 
Naona unan'gata NA kupuliza ....safi mkuu nimependa jinsi unavyotoa jumbe zako. ...kwa uhandishi huu utaendelea kuwa salama sana tu hasa kutokana NA nchi ilivyo kwa sasa
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la kupongeza kauli ya rais Magufuli kusimamisha bomoa bomoa ya nchi mzima, kabla bomoa bomoa yoyote haijatekelezwa, upembuzi yakinifu kwa kutumia kigezo kipya kiitwacho a human face, lazima kitumike kwanza, ili zile nyumba zitakazo bomolewa ni zile tuu ambazo zina ulazima wa kubomolewa, japo kauli hii ameitolea Mwanza ambako ni Usukumani, na yeye kujinasibu ni Msukuma na kusemekana ni Msukuma, hivyo kauli hiyo kuchukuliwa au kutafsiriwa wrongly kuwa rais Magufuli ni mkabila na mbaguzi kwa kuzuia bomoa bomoa kwa kabila lake tuu, mimi napongeza uamuzi huu kwa hoja kuwa kauli hiyo ni applicable national wide and not necessarily Mwanza tuu, hivyo kwa kauli hiyo, rais Magufuli atakuwa amesitisha bomoa bomoa zote nchi nzima, hivyo naomba wasaidizi wake wa jitokezeni, mlifafanue hili ili rais watu aeleweke asitafsiriwe vibaya huku nyinyi mpo.

Declaration of interest. Kumezuka mtindo humu jf, mtu akipongeza jambo lolote zuri linalofanywa na rais Magufuli anaambiwa anatafuta U-DC, naomba kushikilia msimamo wangu wa kuunga mkono katiba ya Warioba katika hili la ma DC kuwa ni posts za kikoloni tuu ambazo kwa sasa ni redundant ambazo wastage of money and resources tuu saves kutumika ku maintain status quo ya serikali iliyopo madarakani kama mkoloni alivyowatumia ku maintain his status quo.

Kauli za Rais Ni Sheria na Ombi la Raisi ni Amri.
Naomba tuanze kwa kumsikiliza kwa makini

Rais anapotoa kauli akiwa eneo fulani, katika mkutano unaotangazwa live nchi nzima, chochote anachokisema, anatuambia Watanzania wote, na maagizo yoyote anayoyatoa kwa watendaji, anayatoa kwa watendaji wa nchi nzima, tena hata akisema naomba, naomba ya rais sio ombi bali ni amri inayopaswa kufuatiwa na utekelezaji tuu. Hivyo amri hiyo sio kwa Mwanza tuu bali ni amri halali kwa nchi nzima, bomoa bomoa kutumia human face besides sheria, taratibu na kanuni.

Jee Magufuli ni Mkabila na Mbaguzi?.
Kauli hii imetafsiriwa kama ni kauli ya kibaguzi wa kikabila kwa vile tuu imetolewa Mwanza. Hili la Ukabila wa Wasukuma nimeishawahi kulizungumza hapa.

Jee Kauli za Rais ni Territorial or National Wide?.
Kuna kauli za rais ziko directed kwenye sehemu moja au eneo fulani specific lakini zikitolewa kupitia matangazo ya moja kwa moja ya radio na TV, kauli hizo zinakuwa ni kwa taifa zima na sio kwa lile eneo husika pekee unless wasaidizi wa rais waje watufafanulie kuwa rais alikuwa akimaanisha hiyo human face itumike Mwanza tuu kwa Wasukuma, lakini kwenye maeneo mingine yote, bomoa bomoa ieendelee tuu bila human face.

Hili liliwahi kufanyika wakati rais alipotoa kauli ya kufyatua watoto, atasomesha bure, ilitafsiriwa ni kwa Watanzania wote, hadi Waziri Ummy Mwalimu alipojitokeza na kufafanua kuwa kauli ile ilikuwa directional kwa watani zake Wazaramo tuu. Hivyo tunaichukulia kauli hii ni kwa Watanzania wote unless kama it was meant kwa Wasukuma tuu, tuelezwe.

Kauli za Rais Zitafsiriwe.
Kufuatiwa lugha ya Kiswahili sio lugha yake ya kwanza, kuna mara kadhaa rais Magufuli huwa anajikwaa ulimi na kutoa kauli tata, hivyo wasaidizi
wa rais wana wajibu wa kumsaidia kuzifafanua kauli hizo zieleweke vizuri kwa Watanzania kama nilivyo shauri hapa.

Kauli za Rais Zisitafsiriwe Literally Bali The Motive Behind.
Sio kila rais anachosema kutafsiriwe direct or literally bali ziangaliwe zimedhamiria nini.

Paskali

Hahahaaaaa! Should we invoke mischief rule to know the intention of the President vide his ambiguous statements? But ni vema kama ulivyotoa wito kwa wasaidizi wake wakajitokeza na kutolea ufafanuzi mana people have been confused indeed.
 
Kuna jambo nalifikiria, nadhani ni rahisi sana kuwaongoza Watanzania kwani hata hatuelewi tunataka nini!! Yaani leo ukisema hili sawa tu kesho ukalikanusha sawa tu
Yaani hii nchi hata chizi anaweza kuongoza
 
Paschal kila siku unazidi kuonyesha njisi usivyo na akili, hata kama ni njaa yako sasa imezidi, kuna watu hawana makazi mpaka, watoto wanatangatanga, Je huyu Mungu wako alikuwa wapi?? Licha ya zuio la mahakama?? Huyu Mungu wako ni mkabila, ana roho mbaya, mnafiki, muongo, mpenda sifa, mbaguzi. Je kwa kauli yake Mwanza walimpigia kura, hawafai kubomolewa nyumba zao, Je wa kimara kwa kauli hii watajisikiaje? Umoja wa kitaifa utatoka wapi?
 
Bomoabomoa hasa ya eneo la Kimara imeacha wananchi wakiwa na kila aina ya ufukara..
Bado nitaendelea kuamini kwamba kama jimbo la Ubungo na Kibamba yangekuwa yanaongozwa na wabunge wa CCM sidhani kama bomoabomoa ile ya Morogoro rd ingefanyika kwa kiwango kile.
 
Acha unafiki mkuu, Waliobomolewa kimara tena kesi ikiwa mahakamani walitazamwa kwa face ipi? Devil face?. Tunajua Mayalla ni njaa lakini usiruhusu Njaa kuitawala akili yako, maisha ya duniani ni ya mpito tu. Call spade a spade, huu upuuzi wa kusifia kinachoitwa a Human face kitaligawanya Taifa na kupandikiza chuki dhidi ya Wananchi. Mwambieni Mkuu ukweli haswa anapochukua maamuzi / ama kutoa kauli zenye kuligawa Taifa.
Baba wa Taifa angelikua na huo upuuzi wa Human face Leo Butiama ingelikua kama New york. Tusikubali kutenganishwa kiitikadi, kidini wala Kikabila, Watanzania wote ni ndugu, wote tutendewe haki panapostahili
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la kupongeza kauli ya rais Magufuli kusimamisha bomoa bomoa ya nchi mzima, kabla bomoa bomoa yoyote haijatekelezwa, upembuzi yakinifu kwa kutumia kigezo kipya kiitwacho a human face, lazima kitumike kwanza, ili zile nyumba zitakazo bomolewa ni zile tuu ambazo zina ulazima wa kubomolewa, japo kauli hii ameitolea Mwanza ambako ni Usukumani, na yeye kujinasibu ni Msukuma na kusemekana ni Msukuma, hivyo kauli hiyo kuchukuliwa au kutafsiriwa wrongly kuwa rais Magufuli ni mkabila na mbaguzi kwa kuzuia bomoa bomoa kwa kabila lake tuu, mimi napongeza uamuzi huu kwa hoja kuwa kauli hiyo ni applicable national wide and not necessarily Mwanza tuu, hivyo kwa kauli hiyo, rais Magufuli atakuwa amesitisha bomoa bomoa zote nchi nzima, hivyo naomba wasaidizi wake wa jitokezeni, mlifafanue hili ili rais watu aeleweke asitafsiriwe vibaya huku nyinyi mpo.

Declaration of interest. Kumezuka mtindo humu jf, mtu akipongeza jambo lolote zuri linalofanywa na rais Magufuli anaambiwa anatafuta U-DC, naomba kushikilia msimamo wangu wa kuunga mkono katiba ya Warioba katika hili la ma DC kuwa ni posts za kikoloni tuu ambazo kwa sasa ni redundant ambazo wastage of money and resources tuu saves kutumika ku maintain status quo ya serikali iliyopo madarakani kama mkoloni alivyowatumia ku maintain his status quo.

Kauli za Rais Ni Sheria na Ombi la Raisi ni Amri.
Naomba tuanze kwa kumsikiliza kwa makini

Rais anapotoa kauli akiwa eneo fulani, katika mkutano unaotangazwa live nchi nzima, chochote anachokisema, anatuambia Watanzania wote, na maagizo yoyote anayoyatoa kwa watendaji, anayatoa kwa watendaji wa nchi nzima, tena hata akisema naomba, naomba ya rais sio ombi bali ni amri inayopaswa kufuatiwa na utekelezaji tuu. Hivyo amri hiyo sio kwa Mwanza tuu bali ni amri halali kwa nchi nzima, bomoa bomoa kutumia human face besides sheria, taratibu na kanuni.

Jee Magufuli ni Mkabila na Mbaguzi?.
Kauli hii imetafsiriwa kama ni kauli ya kibaguzi wa kikabila kwa vile tuu imetolewa Mwanza. Hili la Ukabila wa Wasukuma nimeishawahi kulizungumza hapa.

Jee Kauli za Rais ni Territorial or National Wide?.
Kuna kauli za rais ziko directed kwenye sehemu moja au eneo fulani specific lakini zikitolewa kupitia matangazo ya moja kwa moja ya radio na TV, kauli hizo zinakuwa ni kwa taifa zima na sio kwa lile eneo husika pekee unless wasaidizi wa rais waje watufafanulie kuwa rais alikuwa akimaanisha hiyo human face itumike Mwanza tuu kwa Wasukuma, lakini kwenye maeneo mingine yote, bomoa bomoa ieendelee tuu bila human face.

Hili liliwahi kufanyika wakati rais alipotoa kauli ya kufyatua watoto, atasomesha bure, ilitafsiriwa ni kwa Watanzania wote, hadi Waziri Ummy Mwalimu alipojitokeza na kufafanua kuwa kauli ile ilikuwa directional kwa watani zake Wazaramo tuu. Hivyo tunaichukulia kauli hii ni kwa Watanzania wote unless kama it was meant kwa Wasukuma tuu, tuelezwe.

Kauli za Rais Zitafsiriwe.
Kufuatiwa lugha ya Kiswahili sio lugha yake ya kwanza, kuna mara kadhaa rais Magufuli huwa anajikwaa ulimi na kutoa kauli tata, hivyo wasaidizi
wa rais wana wajibu wa kumsaidia kuzifafanua kauli hizo zieleweke vizuri kwa Watanzania kama nilivyo shauri hapa.

Kauli za Rais Zisitafsiriwe Literally Bali The Motive Behind.
Sio kila rais anachosema kutafsiriwe direct or literally bali ziangaliwe zimedhamiria nini.

Paskali

Hayo tuyaache, ametlwza kwenye ulimi ingawa.Mh?????
Nani alimpiga Lisu risasi? Nini kinaendelea ? Nani wa kusema hili nataka majibu leo hii? Nani alivamia clouds, nani alimkemea?
 
Napendezwa na uandishi wako wa kimafumbofumbo. Rejea ulichoandika zaidi ya lisaa lililopita katika thread ulioanzisha januari "Je Aachwe aseme tuu "By taking Bitter with Sweet" au atumie busara".

Kuna mfalme mmoja vitabu vya dini (km niko sahihi ukristo) kwa jina la Sulemani, kumbukumbu katika vitabu hivi inasema Mwenyenzi Mungu alimpa nafasi ya kusema mambo matatu, aliomba hekima, maarifa na busara. Swali ni kweli hakuwa na mambo haya/sifa hizi? Hakuwa na mengine ya kuomba zaidi ya haya? Kulikuwa na haja gani ya kuomba haya wakati yeye hachaguliwa ni mtawala wa maisha na alizungukwa na washauri wenye sifa ombwa? Je maombi haya yanaviashiria vya mtu aliyekuwa na tafakari ya kina ya matamanio ya moyo wake kwa ukubwa wa majukumu yaliyokuwa mbele yake? Au alitoa majibu haya randomly kutoka kwenye kichwa chake?

Natumaini ndg yng Paskali Mayalla umepewa ufafanuzi wa kauli hii ya jana kutoka kwa washauri wake au walio karibu yake. Au ni aina nyingine ya kionjo cha uandishi wako, kwa ku-usemea moyo wa mtoa kauli (remedial measures).
 
Huyu ni Mzee wa kiki maana alosema lazima Zibo mole we ni yeye kwani hakujua kuna hiyo haki ya binadamu wakati sehemu nyingine zinabomolewa? Nitabaki kuwa kinyume na uongozi huu mpaka nione mistari ya katiba inasimama si ngonjera za bomoabomoa hapa
 
Kwamba wasaidizi wa Rais wasaidie kuwa wanaelimisha wananchi nini Rais alisema.... hahaha. Dr Abbas amekusikia. Swali langu kwa Paskali, ikiwa anatumia kiswahili na haeleweki vipi lugha kama ya malkia? Ndio maana kuna fent ford.

Kwamba bomoa bomoa for human face hahahaaa.... inawezekana kweli likafanyika kilimanjaro hili yelewi... kimara are weeping hohoho..

Paskali please... usiwe msemaji wa Rais. Kasema wa Mwanza so usimlishe maneno mengine. Mwanza hoyeee
 
Mkuu we mwenyewe najua huwwzi kuelewa ulichoandika

Mkuu huyo jamaa anamapungufu mno
Kwenye ukweli usemwe tu
Mada zako kama hizi zinakupunguzia heshima
Nimeelewa kwa nini kuna jamaa alisema paskali anajipendekeza ili aupate U DC but ts too late mkubwa Paskali Rais angezuia hili mapema lakini kwa sasa kawaumiza wengi
 
Back
Top Bottom