Kwani Rais alishindwa kusema nasitisha bomoabomoa nchi nzima, kama kweli alimaanisha hivyo? Ni mbinafsi, mbaguzi, mkabila na mtu wa visasi. Amedhihirisha kuwa yeye ni anaendesha nchi kwa misingi ya ubaguzi wa kivyama, kikabila na kikanda full stop.
Hivi Pascal anapata wapi ujasiri huu..!Kaka Pascal Mayalla hupati shida kumtetea mtu mwenye nguvu na sauti kama Rais? Wewe tetea wasiokuwa na sauti huko chini, hawa wakubwa watajitetea wenyewe...
2025??? Unajielewa kweli? Kuna kutokuchaguliwa tena 2015 na pia kuna kuachia ngazi kwa kuona nchi imemshinda. Miaka hii miwili inadhibitisha hilo.Hama nchi, ndo rais wetu mpendwa mpaka 2025.
Wanabodi,
Hili ni bandiko la kupongeza kauli ya rais Magufuli kusimamisha bomoa bomoa ya nchi mzima, kabla bomoa bomoa yoyote haijatekelezwa, upembuzi yakinifu kwa kutumia kigezo kipya kiitwacho a human face, lazima kitumike kwanza, ili zile nyumba zitakazo bomolewa ni zile tuu ambazo zina ulazima wa kubomolewa, japo kauli hii ameitolea Mwanza ambako ni Usukumani, na yeye kujinasibu ni Msukuma na kusemekana ni Msukuma, hivyo kauli hiyo kuchukuliwa au kutafsiriwa wrongly kuwa rais Magufuli ni mkabila na mbaguzi kwa kuzuia bomoa bomoa kwa kabila lake tuu, mimi napongeza uamuzi huu kwa hoja kuwa kauli hiyo ni applicable national wide and not necessarily Mwanza tuu, hivyo kwa kauli hiyo, rais Magufuli atakuwa amesitisha bomoa bomoa zote nchi nzima, hivyo naomba wasaidizi wake wa jitokezeni, mlifafanue hili ili rais watu aeleweke asitafsiriwe vibaya huku nyinyi mpo.
Declaration of interest. Kumezuka mtindo humu jf, mtu akipongeza jambo lolote zuri linalofanywa na rais Magufuli anaambiwa anatafuta U-DC, naomba kushikilia msimamo wangu wa kuunga mkono katiba ya Warioba katika hili la ma DC kuwa ni posts za kikoloni tuu ambazo kwa sasa ni redundant ambazo wastage of money and resources tuu saves kutumika ku maintain status quo ya serikali iliyopo madarakani kama mkoloni alivyowatumia ku maintain his status quo.
Kauli za Rais Ni Sheria na Ombi la Raisi ni Amri.
Naomba tuanze kwa kumsikiliza kwa makini
Rais anapotoa kauli akiwa eneo fulani, katika mkutano unaotangazwa live nchi nzima, chochote anachokisema, anatuambia Watanzania wote, na maagizo yoyote anayoyatoa kwa watendaji, anayatoa kwa watendaji wa nchi nzima, tena hata akisema naomba, naomba ya rais sio ombi bali ni amri inayopaswa kufuatiwa na utekelezaji tuu. Hivyo amri hiyo sio kwa Mwanza tuu bali ni amri halali kwa nchi nzima, bomoa bomoa kutumia human face besides sheria, taratibu na kanuni.
Jee Magufuli ni Mkabila na Mbaguzi?.
Kauli hii imetafsiriwa kama ni kauli ya kibaguzi wa kikabila kwa vile tuu imetolewa Mwanza. Hili la Ukabila wa Wasukuma nimeishawahi kulizungumza hapa.
Jee Kauli za Rais ni Territorial or National Wide?.
Kuna kauli za rais ziko directed kwenye sehemu moja au eneo fulani specific lakini zikitolewa kupitia matangazo ya moja kwa moja ya radio na TV, kauli hizo zinakuwa ni kwa taifa zima na sio kwa lile eneo husika pekee unless wasaidizi wa rais waje watufafanulie kuwa rais alikuwa akimaanisha hiyo human face itumike Mwanza tuu kwa Wasukuma, lakini kwenye maeneo mingine yote, bomoa bomoa ieendelee tuu bila human face.
Hili liliwahi kufanyika wakati rais alipotoa kauli ya kufyatua watoto, atasomesha bure, ilitafsiriwa ni kwa Watanzania wote, hadi Waziri Ummy Mwalimu alipojitokeza na kufafanua kuwa kauli ile ilikuwa directional kwa watani zake Wazaramo tuu. Hivyo tunaichukulia kauli hii ni kwa Watanzania wote unless kama it was meant kwa Wasukuma tuu, tuelezwe.
Kauli za Rais Zitafsiriwe.
Kufuatiwa lugha ya Kiswahili sio lugha yake ya kwanza, kuna mara kadhaa rais Magufuli huwa anajikwaa ulimi na kutoa kauli tata, hivyo wasaidizi
wa rais wana wajibu wa kumsaidia kuzifafanua kauli hizo zieleweke vizuri kwa Watanzania kama nilivyo shauri hapa.
Kauli za Rais Zisitafsiriwe Literally Bali The Motive Behind.
Sio kila rais anachosema kutafsiriwe direct or literally bali ziangaliwe zimedhamiria nini.
Paskali
Endeleeni kuota!2025??? Unajielewa kweli? Kuna kutokuchaguliwa tena 2015 na pia kuna kuachia ngazi kwa kuona nchi imemshinda. Miaka hii miwili inadhibitisha hilo.
Hapo ndipo kwenye shida humu jukwaani watu hawasomi kutafuta mantiki au maana nzima ya bandiko hili Pascal Mayalla katumia weledi mkubwa na nilitaraji kuna watu watashindwa kumuelewa .hamjamuelewa muandishi nyie mnaomponda,makala yake ni mtego mkubwa sana.someni tena alafu mtafakari na sio msome ili mjibu