Pongezi kwa Rais Magufuli kusitisha Bomoa Bomoa kwa kuongeza kigezo cha "Human Face". He's so Human!

Uchaguzi huo elewa pia kuwa hata waliobomolewa bila fidia kwa vile 2015 hawakumpa kura wanapiga kura tena 2020, pamoja na wategemezi wao, ndugu zao nk
 
Uchaguzi huo elewa pia kuwa hata waliobomolewa bila fidia kwa vile 2015 hawakumpa kura wanapiga kura tena 2020, pamoja na wategemezi wao, ndugu zao nk
Pia elewa kuna wengi zaidi wanajuta kwa kupotezea kura zao kwa kamanda lowassa, hawatarudia makosa haya!
Alafu hii ni kwa mikoa yote isipokuwa kanda ya ziwa, kanda ya ziwa kwenye nyomi tayari huko JPM ni untouchable.
 
Pascal acha kufunga maskio,,maeneo ys uwanja Wandege na maeneo mengine,,mwanza,,,na mkuu Wa mka yupo hapa atakaa na viongozi wengine watajadili,,,inamaanisha nini?
 
Nawewewe VP?kasitisha mwanza airport na maeneo mengine mkoani mwanza
 
Hivi mkulu wetu kwa nini naye asipimwe mkojo kwasababu simsomisomi

Jamani watanzania mm nawaomba ifikapo 2020 sisi wamikoa tofauti na ya usukumani tusimchague Magu tuwachie wasukuma tuone kama wataweza kumrudisha kwenye kiti cha Urais
 
nchi hii inaongozwa kwa katiba ya nchi au kauli za mpangaji mkuu wa pale magogoni?inahuzunisha mno kwetu sisi ambao ni middle class ambao tunajijali sisi tu maadamu waliotuzunguka wanaishi vema ila tumesahau wengi wa watanzania wanaishi maisha duni mno,watanzania wenzetu kutokana na kutofuatwa kwa sheria za nchi muda huu wanaishi nje baada ya nyumba zao kubomolewa ,nasi tupo pembeni tunafurahi because hatujaathirika na hatua hii,kauli za rais sio sheria maana naye inalazimika kuongoza nchi yetu kwa katiba,kumbuka aliapa kuilinda katiba ya nchi sasa unaponiambia yeye kauli zake ni sharia siamini kabisa msomi kama wewe unaweza kuwa na mawazo kama haya,wote tupo chini ya sharia mama KATIBA.
 
Pasco unajaribu kusafisha hali ya hewa?! Huyo jamaa yetu hana lugha ya kisiasa. Na kosa pia hataki kusoma hotuba, anajitolea kichwani na kumpelekea kujiingiza matatani!!!

Hata hii ya kurudia ziara MWZ mara nne, wakati kuna mikoa haijatembelewa, si sawa japo hamna anayempangia.
 
Ndugu Pascal Mayalla huwa napenda sana mfumo wako wa uandishi wa kuficha mambo kwenye mistari ya maandishi...huwa ni wachache wanakuelewa hata mlengwa mkuu wa bandiko akipita hapa hatakuelewa!
 




Ikitokea tabu nchi hii na wewe utakuwa umehusika, si akupe tu cheo ili utulie?
 
Nimeipenda hii kwa kuwa kwenye ID moja unasifia na kwenye ID nyingine unaponda

Kwa hiyo unawaachia wapondaji waendelee na wasifiaji waendelee ukiwapa hoja za kutumia

Sitaki swali kuhusu IDz plz
 
Natamani siku nimuone huyu mtu anaitwa Pascal Mayalla naona ameleta kinyesi cha kusifia ubaguzi maana kimara watu wamebomolewa alafu anaenda kwa wasukuma wenzange anasema wasibomolewe kwa kua walimpa kula
 
Pia elewa kuna wengi zaidi wanajuta kwa kupotezea kura zao kwa kamanda lowassa, hawatarudia makosa haya!
Alafu hii ni kwa mikoa yote isipokuwa kanda ya ziwa, kanda ya ziwa kwenye nyomi tayari huko JPM ni untouchable.
Hivi kama huko kanda ya ziwa ni untouchable kwa nini wakati wa uchaguzi mzee kipipa (BM) alipiga kambi na kuhangaika usiku na mchana kwenye vyumba vya kuhesabia kura? Wadanganyeni wasio jua nini kilifanyika 2015 octoba
 
Any decision you make in Life you are Responsible for it
 

This is superstitious Paschal! you are better than that. or is this what's been running you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…