Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Amesema Arusha sio Dar soma vizuri...Huko DAR alipokuwepo mbona vituo vingi vimechoka halikadhalika nyumba zao.
Hata Arusha vituo ni choka mbaya tu.Amesema Arusha sio Dar soma vizuri...
Picha?Maeneo ni mengi ambayo binafsi naona uwepo wa Mh Makonda umefanya uboreshwe.
Mojawapo ni kituo cha polisi central pamoja na makao makuu ya mkoa (ofisi ya RPC)
Hakika yanaendana na hadhi ya Arusha.
Hongera sana Makonda. Endelea kuangazia maeneo yote na kuhimiza utendaji wa kuzingatia huduma nzuri na haki kwa wananchi wote.
Picha itakuja, ama poti yeyote atusaidie kuweka hapa
Itawekwa endelea kuwa mvumilivu.Picha?
Mzee una autism? Mada ni makao makuu ya polisi arusha wewe unataka kutaja vituo. Dishi limeyumba? Pia mada ni kuboresha manake kilikuwa na hali mbaya kimuonekano. Ni wazi hata vituo vitakuwa na hali mbaya na ndio essence ya hongera kwa maboresho aliyoanzia centralHata Arusha vituo ni choka mbaya tu.
Au unataka tuanze kutaja majina ya vituo??
Ni kweli nina autism nimerithi kwa mama yako.Mzee una autism? Mada ni makao makuu ya polisi arusha wewe unataka kutaja vituo. Dishi limeyumba? Pia mada ni kuboresha manake kilikuwa na hali mbaya kimuonekano. Ni wazi hata vituo vitakuwa na hali mbaya na ndio essence ya hongera kwa maboresho aliyoanzia central