Pongezi kwa RC Makonda kuboresha makao makuu ya polisi Arusha

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Maeneo ni mengi ambayo binafsi naona uwepo wa Mh Makonda umefanya uboreshwe.

Mojawapo ni kituo cha polisi central pamoja na makao makuu ya mkoa (ofisi ya RPC)

Hakika yanaendana na hadhi ya Arusha.

Hongera sana Makonda. Endelea kuangazia maeneo yote na kuhimiza utendaji wa kuzingatia huduma nzuri na haki kwa wananchi wote.

Picha itakuja, ama poti yeyote atusaidie kuweka hapa
 
Huko DAR alipokuwepo mbona vituo vingi vimechoka halikadhalika nyumba zao.
 
Umewahia kuingia choo cha wateja polisi central Chugga ?🤮
 
Maeneo ni mengi ambayo binafsi naona uwepo wa Mh Makonda umefanya uboreshwe.

Mojawapo ni kituo cha polisi central pamoja na makao makuu ya mkoa (ofisi ya RPC)

Hakika yanaendana na hadhi ya Arusha.

Hongera sana Makonda. Endelea kuangazia maeneo yote na kuhimiza utendaji wa kuzingatia huduma nzuri na haki kwa wananchi wote.

Picha itakuja, ama poti yeyote atusaidie kuweka hapa
Picha?
 
Hata Arusha vituo ni choka mbaya tu.
Au unataka tuanze kutaja majina ya vituo??
Mzee una autism? Mada ni makao makuu ya polisi arusha wewe unataka kutaja vituo. Dishi limeyumba? Pia mada ni kuboresha manake kilikuwa na hali mbaya kimuonekano. Ni wazi hata vituo vitakuwa na hali mbaya na ndio essence ya hongera kwa maboresho aliyoanzia central
 
Ni kweli nina autism nimerithi kwa mama yako.
Watu tunajua central police station nyingi ni nzuri kwa asilimia kubwa.

Tatizo lipo kwa vituo vidogo.
Wewe unaanza kutoa povu na jasho la kwapa.
Kama ni maboresho yafanyike kwa vituo vyote maana binawahudumia watanzania wote.

Miaka zaidi ya 60 ya uhuru unasifia maboresho ya central station??
Inatakiwa vituo vyote viwe na hadhi ya central stations..!!
 
Back
Top Bottom