Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ndicho ulichobakisha guluguja ngumbaru usiye na ubongo wala uti wa mgongo wewe.Kaa kimya mburula wewe.
Huna hoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndicho ulichobakisha guluguja ngumbaru usiye na ubongo wala uti wa mgongo wewe.Kaa kimya mburula wewe.
Wacha viroja, weka hoja.Ni kwamba siasa za kishamba zilizokuwa zinachelesha maendeleo zimedhibitiwa.
Huna uwezo wa kupambana na Kiranga kwa hoja wala kwa viroja!Ameshakula za uso,ametulia.
Hoja ni kuwa siasa za kihuni zilizochelewesha maendeleo zimedhibitiwa.Ndicho ulichobakisha guluguja ngumbaru usiye na ubongo wala uti wa mgongo wewe.
Huna hoja.
Kiroja mezani unakiita ni hoja mezani?Unatupia upuuzi wa mabeberu badala ya kujadili hoja mezani?
Ni kwamba siasa za kishamba zilizokuwa zinachelesha maendeleo zimedhibitiwa.
Wacha viroja, weka hoja.Hoja ni kuwa siasa za kihuni zilizochelesha maendeleo zimedhibitiwa.
Son of gun,shut up.Wacha viroja, weka hoja.
Weka nukuu ya verbatim tujadili.
Unajua verbatim ni nini?
Wacha viroja, weka hoja.Son of gun,shut up.
Hoja ipo wazi siasa za kishamba,zilizochelewesha mendeleo zimedhibitiwa.Huna uwezo wa kupambana na Kiranga kwa hoja wala kwa viroja!
Hoja ipo wazi siasa za kishamba,zilizochelewesha mendeleo zimedhibitiwa.
Mbona upo nje ya mada?Unajua hata mjinga akijua kusoma hutembea kijiji kizima kupiga mayowe kuonyesha kuwa anajua kusoma, hivyohivyo hata masikini akipata daraja la mfugale anapiga mbija kuwa hayo ndio maendeleo
ChangudoaJamani wana JF palipo na ukweli lazima usemwe.
Huko nyuma kuna mambo yaliachwa lakini hayakuwa na tija kwa umma wa watanzania.
Hasa haya mambo yalishamiri sana awamu ya nne ya Jakaya Kikwete.
Yaani miaka kumi ya utawala wa Jakaya ilikuwa ni siasa zisizo na tija kwa taifa na raia wake.
Operation Sangara, maandamano na mikutano ya siasa isiyo na tija bali kuhamasisha umma kupinga maendeleo.
Baada ya kupigwa marufuku,tumeshuhudia mambo makubwa yakifanyika hapa Tanzani. Mfano ni ujenzi wa Hospital zaidi ya 70 za wilaya ndani ya miaka minne,vituo vya afya 450+ n.k
Maoni yangu ni kuwa hii ni hatua nzuri na sasa ni wasaa serikali ya awamu ya tano kuhakikisha inawaletea maendeleo makubwa watanzania, maana hakuna tena obstacle to progress.
Hii nayo ni mada?Mbona upo nje ya mada?
We unaonaje?Hii nayo ni mada?
Chato Revolution.Jamani wana JF palipo na ukweli lazima usemwe.
Huko nyuma kuna mambo yaliachwa lakini hayakuwa na tija kwa umma wa watanzania.
Hasa haya mambo yalishamiri sana awamu ya nne ya Jakaya Kikwete.
Yaani miaka kumi ya utawala wa Jakaya ilikuwa ni siasa zisizo na tija kwa taifa na raia wake.
Operation Sangara, maandamano na mikutano ya siasa isiyo na tija bali kuhamasisha umma kupinga maendeleo.
Baada ya kupigwa marufuku,tumeshuhudia mambo makubwa yakifanyika hapa Tanzani. Mfano ni ujenzi wa Hospital zaidi ya 70 za wilaya ndani ya miaka minne,vituo vya afya 450+ n.k
Maoni yangu ni kuwa hii ni hatua nzuri na sasa ni wasaa serikali ya awamu ya tano kuhakikisha inawaletea maendeleo makubwa watanzania, maana hakuna tena obstacle to progress.
Maswali mazuri na hoja mwanana,mtoa mada atufafanunulie vizuriKwanza kabisa maendeleo ni nini?
Pili, elezea kwa mfano, propaganda mfu moja ya kupinga maendeleo ni ipi tuijadili kwa kina.
Ili tuthibitishe kwamba, wewe kuongelea "propaganda mfu" ambayo hata hujaitaja kwa detail, nako si hiyo "propaganda mfu" unayoisema.
Weka mfano specific na maneno verbatim yaliyotumika tujadili hapa.
Halafu jiridhishe upande wa chama tawala nako hakuna hizo propaganda mfu unazozisema, ili tujue kwamba, usichotaka ni pro[paganda mfu kweli, na kuwa huna lengo la kushambulia upinzani kwa "double standard" tu.
Mitano tena kudadekiJamani wana JF palipo na ukweli lazima usemwe.