Pongezi kwa waliopaza sauti kupitia JF kuhusu anajiita "Kiboko ya Wachawi"

Jana tu nilikua nasikiliza Kipindi chake....!!!
 
Vituo vya redio vinavyorusha huu upuuzi serikali ivimulike na kuvifunga. Tunajenga taifa la mataahira kwa uchu wa pesa wa matapeli. Wenzetu wanadanya mambo ya maana sisi tunabaki mpaka kuagiza toothpick na yeboyebo wakati malighafi za kutengeneza vitu hivyo tunazo. Kazi yetu kwenda usiku kucha kumpayukia mungu kiziwi sala na maombi ya abracadabra! Hatujifunzi hata kwa binadamu ambaye Mungu meenyewe amesema sisi ni SURA NA MFANO WAKE. Wewe upo chumbani mtoto wako usiku kucha yupo hapo mlangoni anakupigia kelele usiku kucha anaomba nauli ya kwenda shule!! Huko ndiko huu ulokole ulipofikia. I dare to say hawa si wakristo. Ni kichekesho tu hata imessbabisha watu wa imani zingine kuudharau ukristo.
acha kutupia ulokole uozo, walokole hawako hivyo na huo upuuzi hawaufanyi. Walokole wako smart sana na mambo ya rohoni na mwilini huwezi kuwaingiza kwenye imani za kipuuzi
 
😊 natabasamu kwa uchungu, ukute mwenzio yuko huko anajidhatiti kurusha masafa marefu mpaka mwisho wa mipaka ya Tz.

Serikali ya Tanzania kwa hayo mapooza ni kama imekufa, makanisa kadhaa yalifungwa na kufunguliwa baadae mfano kabisa la Caesar Masisi, Suguye na Zumaridi wapo wanaendelea kama nothing happened.
 
Vituo vya redio vinavyorusha huu upuuzi serikali ivimulike na kuvifunga. Tunajenga taifa la mataahira kwa uchu wa pesa wa matapeli. Wenzetu wanadanya mambo ya maana sisi tunabaki mpaka kuagiza toothpick na yeboyebo wakati malighafi za kutengeneza vitu hivyo tunazo. Kazi yetu kwenda usiku kucha kumpayukia mungu kiziwi sala na maombi ya abracadabra! Hatujifunzi hata kwa binadamu ambaye Mungu meenyewe amesema sisi ni SURA NA MFANO WAKE. Wewe upo chumbani mtoto wako usiku kucha yupo hapo mlangoni anakupigia kelele usiku kucha anaomba nauli ya kwenda shule!! Huko ndiko huu ulokole ulipofikia. I dare to say hawa si wakristo. Ni kichekesho tu hata imessbabisha watu wa imani zingine kuudharau ukristo.
KAHAMIA EFM
 
Yupo kepito redio kuanzia saa 4 usiku hadi saa 11 alfajiri huwa anarekodi kipindi then ikifika hiyo mida kinaruka hewani
 
Ila anadanganya watu kwamba yupo studio muda huo na akitoka hapo anaenda kanisani. Ina maana analala saa ngapi?🤔
 
20240707_042400.jpg
20240707_042400.jpg
 
Tuanzie msikitini itapendeza ,wanaojiita mashekhe ,maimuma..na wale wanaojiita ustadhi majini ,Pete za bahati na madawa ya kisuna watupiwe jicho pevu
Si kaandika hapo wanaojiita madokta, alimlenga dokta Sulle au humjui?
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Kwa muujibu wa mleta mada toka JF ipaze sauti amesambaratika hasikiki tena...
Lo nakugawa ujuee unaniua mbavu zangu kwa kicheko huku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭!
Anajipanga kuja kivingine
 
Back
Top Bottom