Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
😂 😂 😂
Wakuu hizi FM Radio ni janga kubwa sana kwa Wananchi, kuna siku Times FM ilikuwa inarusha kipindi cha Babu kutoka Kigoma anasaidia watu wenye matatizo mbalimbali, behind the scene wale watu wanaopiga simu kumshukuru Mganga wanakuwa wamepangwa na wamepewa hela. Yaani inasikitisha sana na TCRA nako huwa wanaachia kuona na kusikia Wananchi wanapumbazwa na kuibiwa. Nadhani huu mtindo unaofanywa na hizi redio una baraka kutoka huko kwenye hii Mamlaka ya kudhibiti mawasiliano.