PASSION FMRedio gani hiyo, ni hizi fm za mitaani? Hata wale wanaojiita mitume na manabii, makuhani, madokta wakati matendo na maisha yao hayaakisi huduma hizo ni wa kutupiwa jicho pevu.
Mkuu nyumbamungu, mimi ni miongoni mwa tuliopiga kelele humu kuhusu tapeli huyu Serikali iingilie kati Makanisa ya Miujiza? Watanzania masikini wa kutupwa wanakamuliwa mamilioni kwa utapeli huku wahubiri wakigeuka mamilioneaNatoa pongezi kwa wale waliokuwa wanakwazika na habari zilizokuwa zinarushwa hewani kupitia redio kuanzia saa 6 usiku hadi saa 11 alfajiri.
Pia Soma: DOKEZO - Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"
Nasikia ameshakimbia?Akamatwe arudishwe kwao DRC na afilisiwe kila kitu alichuma kitapeli hapa nchini. Huyu mtu ni Muislam jina lake halisi ni Hassan Wamba.