Pongezi kwa wote wanaoishi maisha ya ndoto zao

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Ulitamani kuwa daktari, rubani, mbunge, waziri, mwanamziki, mwanahabari nk na ulichotamani unakiishi basi unastahili pongezi kimsingi umefanikiwa probably utakuwa ni mtu mwenye furaha na amani(peace of mind).

Kuna hisia za raha kufanya kitu unachokipenda hakuna ugumu, hakuna kuchoka, ni total enjoyment kimsingi una bahati sana.
MV5BNmYxZGQyMGYtZWYwZC00ZTI0LWE0ZTQtMDA4OThjZTAzNjQwXkEyXkFqcGdeQXVyNDUzOTQ5MjY@._V1_FMjpg_UX3...jpg
 
Ulitamani kuwa daktari, rubani, mbunge, waziri, mwanamziki, mwanahabari nk na ulichotamani unakiishi basi unastahili pongezi kimsingi umefanikiwa probably utakuwa ni mtu mwenye furaha na amani(peace of mind).

Kuna hisia za raha kufanya kitu unachokipenda hakuna ugumu, hakuna kuchoka, ni total enjoyment kimsingi una bahati sana.View attachment 3056147
Sijaelewa hiyo picha umeweka inahusiana vipi na mada. Ila punguza kuangalia movie zenye maidhui yalikazwa na serikali. Zitakuharibu akili.
 
Ulitamani kuwa daktari, rubani, mbunge, waziri, mwanamziki, mwanahabari nk na ulichotamani unakiishi basi unastahili pongezi kimsingi umefanikiwa probably utakuwa ni mtu mwenye furaha na amani(peace of mind).

Kuna hisia za raha kufanya kitu unachokipenda hakuna ugumu, hakuna kuchoka, ni total enjoyment kimsingi una bahati sana.View attachment 3056147
Picha yangu inahusiana vipi sasa na hii mada
 
Back
Top Bottom