Pongezi kwa wote wanaoishi maisha ya ndoto zao

Pongezi kwa wote wanaoishi maisha ya ndoto zao

Ila kweli japo pia tujitahidi tusiendeshwe na tamaa
Afrika tunashindwa kuwa wabunifu, kwa sababu msukumo wa ndani, namaanisha ile shauku/tamaa ya kufanikisha kitu fulani inakuwa ni ndogo; ndio maana matatizo ya kiafrika yanafanana.

Wengi sisi tumerizika kwa vidogo tulivyonavyo, inayopelekea kutovumbua vitu vipya katika hii dunia.​
 
Hili liko wazi mnoo na ikatokea Una shauku ya kufanya kitu kikubwa utaonekana kama unaringa, unajipendekeza, unajifanyisha na MBAYA zaidi kila MTU atatamani usifanikiwe ili waonyeshe kuwa walijua Tu. Ni Mungu Tu atusaidie
 
Sio kila mtu ana ndoto wengine wana malengo tu ambayo hubadilika kadri wanavyokua
Mfano Mimi kuna toto la Kibulushi nimelizimia nataka nilipige Mimba Ila linakaza balaa sasa ikitokea kitu imo malengo yametimia sio ndoto
 
Ni Doctor
Ni mtombaji kwenye scene tofauti alishawahi kukufomba ukiwa Nesi?
Screenshot_20240729-182204.png
 
Mimi primary sikumbuki nilikuwa na ndoto gani, secondary nikawa na ndoto ya kuwa mining engineer ama daktari ila mining engineering zaidi, form 5 nikapangwa PCB nikajikatia tamaa ya kusoma sababu nilijua nitapangwa PCM. Nilivyomaliza form 6 nikaomba nipangwe kozi za mining, nikapangwa mifugo. Aahhh, nikaamua tu niache kusoma niende kukata mbao Makete, baadaye nikawa saidia fundi kwenye maghorofa, siku moja nikaona kazi za Jhpiego za kuhamasisha tohara nikazama baadaye jamaa yangu akanitumia tangazo la kazi ya kusimamia mitandao ya kijamii (Social Media Manager and Content Writer) kwenye kampuni ya kubeti, ndiyo nipo huko mpaka leo.

Sipo nilipotaka kuwa ila nipo sehemu ambayo imenipa familia, makazi, mavazi, akiba na malazi mwaka wa 9 sasa. Mungu Mwema aisee!
 
Back
Top Bottom