BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kaza mkuu kama hupati unachopenda penda unachopataNilitaman kuwa doctor ila now nipo hapa kijiwe cha chanika nasubir abiria na boda yangu..........
Sijaelewa hiyo picha umeweka inahusiana vipi na mada. Ila punguza kuangalia movie zenye maidhui yalikazwa na serikali. Zitakuharibu akili.Ulitamani kuwa daktari, rubani, mbunge, waziri, mwanamziki, mwanahabari nk na ulichotamani unakiishi basi unastahili pongezi kimsingi umefanikiwa probably utakuwa ni mtu mwenye furaha na amani(peace of mind).
Kuna hisia za raha kufanya kitu unachokipenda hakuna ugumu, hakuna kuchoka, ni total enjoyment kimsingi una bahati sana.View attachment 3056147
Picha yangu inahusiana vipi sasa na hii madaUlitamani kuwa daktari, rubani, mbunge, waziri, mwanamziki, mwanahabari nk na ulichotamani unakiishi basi unastahili pongezi kimsingi umefanikiwa probably utakuwa ni mtu mwenye furaha na amani(peace of mind).
Kuna hisia za raha kufanya kitu unachokipenda hakuna ugumu, hakuna kuchoka, ni total enjoyment kimsingi una bahati sana.View attachment 3056147
anafanya kazi gani kwan huyu? anaishi ndoto zake?Ulitamani kuwa kama John Sinn?
Ni Doctoranafanya kazi gani kwan huyu? anaishi ndoto zake?
MUNGU abariki KAZI ya mikono yakoNilitaman kuwa doctor ila now nipo hapa kijiwe cha chanika nasubir abiria na boda yangu..........