Pongezi kwake Mange Kimambi

mzuri sana kwa Serikali au Jamii inayohitaji
Hata kuandika hujui polee hebu tuliza mshono huko ujifunze uandishi

Wenzako wote katika bongo zetu kuna madini tupu na ndiyo maana huwa tunamuelewa Mange Kimambi ila bahati mbaya sana mwenzetu Wewe ubongoni mwako kumejaa takataka tupu tena zilizooza ndiyo maana kamwe hunielewi Mimi achilia mbali tu Mwanadada mwerevu na makini Mange Kimambi.

Mimi kuwa mwana CCM hakunizuii kutompenda Mange Kimambi kwani yapo mengine ambayo huwa anayasema yana ukweli na tija Kwetu kama nchi au Chama chetu cha CCM na hata Serikalini na ndiyo maana kwa taarifa yako katika mambo mengi ambayo huyu Mwanadada huwa anayaanzisha au kuyasema hufanyiwa Kazi haraka sana.

Mwanadada Mange Kimambi na Binadamu aliyepewa jicho la Ndege mwerevu ambaye Wataalam wanasema anaweza akawa na akili ama za kumkaribia au hata kumzidi Mwanadamu aitwae Tai ( Eagle ) Katika 100% ya mambo / vitu ambavyo huyu Mwanadada huwa anavisema / anavileta Kwetu Mimi 85% huwa naviamini na ni 15% ndipo huwa simuamini.

Mwisho ukiona GENTAMYCINE anamkubali Mtu jua hata Mwenyezi Mungu amekubali na ukiona GENTAMYCINE anamchukia Mtu basi jua hata mungu wa mashetani LUCIFA nae pia amemchukia. Najua kupima kuchanganua, kupembua, kulinganisha na kutathmini na nasema tena kwa msisitizo kuwa huyu Mwanadada Mghaibuni Mpinzani Mange Kimambi hata kama ana matatizo yake kama Mwanadamu ila She's very Intelligent and Potential.

Nimemaliza nawe na kila la kheri.
 
Ni ngum kukuelewa kwa wenye mihemko
 
Aisee kiukweli Mimi ni mmoja wapo wa mtu ambaye huyu dada nilikuwa kama simweli vile .....Ila baada ya kumsoma sana na kuanza kuona anatokea tokea hadi kwenye baadhi ya media wanamzungumzia ikabidi nizidi kumfuatilia kiukweli huyu Mange yupo vizuri na anajielewa sana huyu dada japo mitusi yake mda mwingine unasoma unaona kama Nissan Nyeupe inakufuatilia by the way Mange kimambi popote alipo huyu dada anastahili pongezi sana sijui kama ni member humu Jf ila binafsi nshaweka kambi pia kwa Mange heshima kwake!
 
Hata sasa huyu dada bado siaminigi kabisa itikadi yake, naona kama ni mtu anaeweza kugeuka wakat wowote. Anyway tuache hayo....leo nimekuja na mm nimpe pongez zangu za maana. Aisee Mungu wake anajua kazi aaliyoifanya, ameshangaza watu kwa nguvu na ushawishi alionao. Binafsi nnampa Heco ktk hilo. Anaelipa wema ni Mungu tu.
 
 
 
 
Wanawake mlioachika mnajua kuteteana hatari. Na wewe tokea bwana wako mzungu amekuacha umekuwa kizuka na kituko wa kutukuka. Move on.. The ocean is big with full of them sharks. Utapata mwanaume mwingine dada genta my sin.

Dr. H. Rweyemamu
 
Wanawake mlioachika mnajua kuteteana hatari. Na wewe tokea bwana wako mzungu amekuacha umekuwa kizuka na kituko wa kutukuka. Move on.. The ocean is big with full of them sharks. Utapata mwanaume mwingine dada genta my sin.

Dr. H. Rweyemamu

Huwa sipotezi muda wangu kujibizana na ' kochoma ' walioshindikana hapa down town tafadhali.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Play 4 Tindu lissu.
Samahani ndugu Makuti......tuwe makini na hizi lugha za watu....a single spelling mistake takes you to another meaning, different from what you probably envisaged. Sasa sijui uli/memaanisha tumchezee (Play for) Lissu mziki....au tumuombee (Pray for)??
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…