GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
mzuri sana kwa Serikali au Jamii inayohitaji
Hata kuandika hujui polee hebu tuliza mshono huko ujifunze uandishi
Wenzako wote katika bongo zetu kuna madini tupu na ndiyo maana huwa tunamuelewa Mange Kimambi ila bahati mbaya sana mwenzetu Wewe ubongoni mwako kumejaa takataka tupu tena zilizooza ndiyo maana kamwe hunielewi Mimi achilia mbali tu Mwanadada mwerevu na makini Mange Kimambi.
Mimi kuwa mwana CCM hakunizuii kutompenda Mange Kimambi kwani yapo mengine ambayo huwa anayasema yana ukweli na tija Kwetu kama nchi au Chama chetu cha CCM na hata Serikalini na ndiyo maana kwa taarifa yako katika mambo mengi ambayo huyu Mwanadada huwa anayaanzisha au kuyasema hufanyiwa Kazi haraka sana.
Mwanadada Mange Kimambi na Binadamu aliyepewa jicho la Ndege mwerevu ambaye Wataalam wanasema anaweza akawa na akili ama za kumkaribia au hata kumzidi Mwanadamu aitwae Tai ( Eagle ) Katika 100% ya mambo / vitu ambavyo huyu Mwanadada huwa anavisema / anavileta Kwetu Mimi 85% huwa naviamini na ni 15% ndipo huwa simuamini.
Mwisho ukiona GENTAMYCINE anamkubali Mtu jua hata Mwenyezi Mungu amekubali na ukiona GENTAMYCINE anamchukia Mtu basi jua hata mungu wa mashetani LUCIFA nae pia amemchukia. Najua kupima kuchanganua, kupembua, kulinganisha na kutathmini na nasema tena kwa msisitizo kuwa huyu Mwanadada Mghaibuni Mpinzani Mange Kimambi hata kama ana matatizo yake kama Mwanadamu ila She's very Intelligent and Potential.
Nimemaliza nawe na kila la kheri.