Pongezi kwake Mange Kimambi

Kwani ngosha anashaurika?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Rubbish
 
Hongera zake Dada yetu kwa jitihada zake nyingi za michango.
Ee Mwenyezi Mungu naomba uzidi kuimarisha afya ya Lissu. Amen
 
Bora hii kuliko yale ya rambirambi na tetemeko
 

Mange alianzisha kampeni ya kumchangia Lissu katika mtandao wa Gofundme akilenga kupata dola za Marekani 50,000 na mpaka kufikia leo saa 10.41 katika mtandao huo kiasi cha dola za Marekani 23,380 ilikuwa imepatikana ambayo ni wastani wa Sh51.3 milioni.

Kwa kweli huyu Dada amekuwa akinifikirisha sana na moyo wake wa huruma huku akiwa mstari wa mbele kupambana na ukandamizaji wa demokrasia na Uhuru wa kujieleza.

Jasho analovuja Mange Kimambi katika mapambano uhuru liwe chachu ya wanawake wote kupigani haki na sio kuwekeza nguvu kubwa kwenye umbea na majungu. Kila dakika naingia kwa Mange nacheki mambo mazuri mchanganyiko

Mange wewe ni mzuri wa sura na roho

Kwa wengine wanaopenda kuchangia wanaweza kufanya hivyo kwa kufuata njia zifuatazo;

Benki: CRDB
Jina la Akaunti: CHADEMA M4C
Namba: 01J1080100600
Tawi: MBEZI BEACH

Huhitaji kwenda Benki:
Unaweza kuchangia kwenda kwenye akaunti hiyo ya benki kupitia huduma za M-PESA au Tigo Pesa na au Airtel Money kama ifuatavyo:

1. Kuchangia kupitia M-PESA:
Piga: *150*00# chagua 6, Huduma za Kifedha, kisha chagua 2,.M-PESA kwenda Benki; kisha chagua 1, CRDB; na kisha 1, weka namba ya akaunti ambayo ni 01J1080100600. Baadaye malizia kwa kufuata maelekezo.

2. Kuchangia kupitia Tigo Pesa
Piga: *150*01# chagua 6, Huduma za Kifedha, kisha chagua 1, Tigo pesa kwenda Benki; kisha chagua 1, CRDB; na kisha 1, kuingiza namba ya kumbukumbu ambayo ni 01J1080100600. Baadaye malizia kwa kufuata maelekezo.

3. Kuchangia kupitia Airtel Money
Piga: *150*60# chagua 1, Tuma Pesa, kisha chagua 1, Tuma kwenda Benki; kisha chagua 2, CRDB Bank; na kisha 1, ingiza namba ya akaunti ambayo ni 01J1080100600
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…