All the best mwaya…..

Kuzaa mtoto hakukufanyi ubadilishe personality yako ..ukimpata mtu unampenda ..unaona mnaendana vitu vingine don't matter..

Ukizaa hugeuki kuwa Zimwi mla watu
 
Mkuu mbona inaonekana umependa sana then kwa kasi ya 4G, kiwango cha upendo ulichonacho kwa sasa je na uyo singo maza wako amefikia kiwango cha upendo ulichonacho ww kwa sasa isije ukachukua maamuz ya haraka alaf mwenzako yupo 2G, utateseka
Saw saw mwambiee... By kaka mkubwaa.
 
Kwanza hongera kuingia kwenye mtego Wa bidada na pia pole kwa majukumu utayoyaanza mana kulea mtoto Wa kidume mwenzako sio kazi rahisi kwahyo nikutakie maisha mema ila mmejuana kwa mda mfupi sana mpka kufikia kutaka kuowa wanawake wazuri sana kuficha makucha pia dadisi kwann aliemzalisha hajakaa nae
 
Kaka singo maza hata ukikaa nae miaka mitatu na zaidi, hao wakinamama wana uzoefu wakuficha makucha yao akitimiza analo taka atakuonyesha "her true colour" ndo utajua kwanini mwanaumme mwezio alimzalisha alafu akamuacha, singo maza ni balaa wengi have "hidden habits"
 
All the best mwaya…..

Kuzaa mtoto hakukufanyi ubadilishe personality yako ..ukimpata mtu unampenda ..unaona mnaendana vitu vingine don't matter..

Ukizaa hugeuki kuwa Zimwi mla watu
Kwanini uende kwa "second hand material " wakati kuna 'first hand material kibao' kijana hao ma resisters wa kwenye ndoa ni hatari, kwanini alifaili mara ya kwanza jiulize?
 
Kwanini uende kwa "second hand material " wakati kuna 'first hand material kibao' kijana hao ma resisters wa kwenye ndoa ni hatari, kwanini alifaili mara ya kwanza jiulize?

kuzaa it doesn't change personality,ukimuona mtu unaendana nae usisite kuwa nae,kwanza mtoto ni sign ya fertility,nyie mnaoprefer wasio na watoto..mnachukia watoto tu..ishu sio single mothers
 
Tumesha kusamehe kwa maneno mengi .by the way umeandika ili iweje labda.maana nimesoma mpka mwisho sioni kitu unachoomba ushauriwe

Ila maelezo yako yana mnogo wa ulimbukeni hivi.ni kama type ya wale wanao date na wasaidizi wetu wa kazi za ndani kwa kukosa confidence kwa kuwa huna hela mwenyewe inaonekana umezoea vya kibakiziwa
 
Siku zote naamini single mother ni bora kuliko msichana aliyetoa mimba nyingi ili aendelee kuitwa msichana. Single mother hakutaka kubeba dhambi ya kuua .hivi binadamu angekuwa hermaphrodite (jinsia mbili)ni wanaume wangapi wangepona usingle father?
Kuna watu wameshusha injini mpaka anaona, dah!!
Nizae hata huyu mmoja bhana!!
Usifumbwe akili na hiyo idea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…