Ignas lyamuya
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 777
- 857
Kinachowapa jeuri ya kumsimanga ni ule uthibitisho (mimba)
Kama uzinzi mbona wengi wanafanya kila haijulikani?
Una udhuru gani wa kumsimanga mwenzio kwa kilekile unachofanya?
Jiulize kwann wajane hawasemwi........hatuwasemi ila kwa sisi Waafrica mtoto wa kike kuzaa kabla ya ndoa inahesabika kama ni kukosa maadili we jiulize ni kwann kumekuwa na ongezeko la ma single mother now days ni lazima hili likemewe ili mmbadilike
Ulishawahi kujiuliza ni madhara gani wanapata watoto wanaolelewa na mzazi mmoja ( kisaikolojia) tujaribu kurudi kwenye misingi ya tamaduni zetu now days imekuwa ni fasheni sasa
Na sisi wanaume tuwe na tabia za kiume si masingle mother wote walipenda wengine wamesababishiwa na ma boyfriend zao mtoto wa kiume unakubalije kuwa sperm donor una enjoy kabisa kulelewa mwanao na wakwe zako huu ni ujinga
Nyie wanawake msiji rahisishe na sisi wanaume tuwe na hulka ya kiume unapomtia mimba mtoto wa watu pambana kwa ajili ya mwanao
......upuuuzi tu wa pande zote mbili....