Pongezi kwenu Single Mothers
Na wewe umerudia kosa lile la kuanzisha threads kuhusu single moms
mwisho hiyo mijitu isiyo na akili itakuja hapa na kuanza kuwatukana tena

Dawa ni kutoanzisha threads kama hizi na kutochangia mtu akianzisha

there are so many ways to celebrate life bila kushiriki mijdala ya kipuuzi
Noted The Boss.
You are one of a kind.
 
Nyuzi zenye maudhui yanayofanana Ni vyema zikaunganishwa
 
Umesema ni TUMAINI LA KILA MWANAMKE ALEE MTOTO NDANI YA NDOA,asa kwanini mnashika mimba kabla ya ndoa, Unakuta kabinti kana miaka 18 kameshagongwa na madingiii chini huko hakufai...full kuwazarau vijana na msemo wao wa eti we mwanafunzi tena mwanachuo na unadate na mwachuo asa atakupa nini?

Haya endeleeni ku date na hao madingi wawape mimba hadi igome kutoka..😂😂😂🏃
 
Nasemaje ikome..
Kuzaa azae mwingine kukereka akereke mwingine inahusu?
Wameachana,wamekataliwa,wamepata mimba kwenye starehe,wamepata kwa mume wa mtu.its non of your business!

Unakuta mwanaume mzima na kende zako kubwa ka machungwa ya supermarket kutwa umekaa kumsimanga mwanamke kisa kazaa..ulitaka awe mgumba?

Kuzaa kazaa yeye,analea mwenyewe.anasomesha mwenyewe..ila we kutwa kuongea.kinachokukera nini has a?

Sikiliza nkwambie..mama ni msingi!
Msingi wa watoto na familia kwa ujumla.
Jiulize kwanini familia nyingi mama akifa familia inayumba sana na kusambarathata?mabalaa hayaishi.
Inakosa furaha na uchangamfu kama mwanzo?
Mama ni msingi.wa malezi mema,ulinzi,furaha,mafanikio,baraka nk.
Mama akikosekana watoto wanayumba

Kama msingi wako ulisimama mpaka Leo umekomaa jibaba zima.basi usitikise wa mwenzio tafadhali.yule kichanga ni binadamu mwenzio pia.malezi mema ulopitia nae anayahitaji.

Kama we unavyompenda mamako.nae ana upendo kwa mamake..
Kama unavyoombea mamako aishi umri mrefu Nae anatamani kuendelea kumuona.
Inashangaza mwanamke tangu ana mimba mpaka anajifungua ni maneno tu.masimango tu.mpaka wanakua frustrated, wana huzuni,wanaweza pata hata magonjwa ya moyo kama si kujikaza.

Kama unavyouheshimu msingi wako.uheshimu wa mwenzio,
Kama unavyoupenda wako,nae anaupenda wake.

Kama hupendi kuona wako ukitikiswa.tena ukiwa tayari umekomaa..usitikise wa mwenzako ambae bado hata hajakomaa na anauhitaji kwa asilimia kubwa kuliko wewe.

Nadhani nimeelewekaView attachment 1214001
Ukikulia mji ambao hauna Baba hata nidhamu yako inakuwa hovyo kabisa.Hapa umedhihirisha umekulia katika mji ambao hauna Baba ndiyo maana umekosa nidhamu umechukua tabia za kikahaba kutoka kwa mama yako ukafikiri ndiyo Dunia inavyotaka sasa Walimwengu wamekujia juu na kukueleza ulichofanya ni ukahaba umebeba mimba ya MIRIOO ambaye hajui hata kununua boksa kisa muonekano wa Instagram.

Swala la Mtoto wako kuita Dadii halipo tena kwake isipokuwa atakapokuwa mtu mzima atamuitaga Hugo Marioo father.Ohh shit .Umnapeleka Papuchi kwa mwanaume ambaye hana sifa ya kuwa baba wa mtoto wako haaaaaaa utachekwa na kusemwa sana kwa huo upuuzi wako ila najua kilichokuponza wewe ni ile tabia yako ya kusema huyu siyo Type yako.

Kukulia mji ambao hauna Baba kama ukizaliwa mwanamke kamwe hutajua umuhimu wa kuwa mke wa MTU.Mwanamke hata uwe msomi kiasi gani unautajiri kiasi kama unazaa tu na wanaume bila kuolewa wanaume tunakuona Wewe ni Malaya tu na hauna tofauti na Machangudoa wengine Utaendelea kusemwa milele.

Maana neno mume wangu huna ruhusa wa kulitumia utaishia kusema huyu MTU wangu nimezaa naye .Kuvalishwa shela siyo jambo dogo hata kidogo unaweza kuishia kuwachangia wenzako wafunge ndoa na wewe kwenda kucheza kwaito.

Hakuna ushujaa wowote hata kama utamsomesha mwanao mpaka PHD Bado huwezi kuwa mfano mzuri katika jamii ndoa ni muhimu .Mungu kamuumba mwanaume kwa ujasili wa ziada kuzibiti nidhamu ya mtoto heshimu mume wako au yule anayeonesha anayo nia ya kukuoa maana tunaanza kuzaliwa kisha ndoa na mwisho kifo.Sasa wewe ni kuzaliwa kisha kifo pamoja na kuishi miaka 40 hapa duniani.

Polea kwa kuzalishwa kisha kubwagwa maana huna sifa nzuri katlka jamii inayokuzunguka .Mji wenye baba ni muhimu kujenga ujasiri wa watoto katika maamuzi.
 
Ka.aba na Mal.y. wa kiume on fleek!
Ukikulia mji ambao hauna Baba hata nidhamu yako inakuwa hovyo kabisa.Hapa umedhihirisha umekulia katika mji ambao hauna Baba ndiyo maana umekosa nidhamu umechukua tabia za kikahaba kutoka kwa mama yako ukafikiri ndiyo Dunia inavyotaka sasa Walimwengu wamekujia juu na kukueleza ulichofanya ni ukahaba umebeba mimba ya MIRIOO ambaye hajui hata kununua boksa kisa muonekano wa Instagram.Swala la Mtoto wako kuita Dadii halipo tena kwake isipokuwa atakapokuwa mtu mzima atamuitaga Hugo Marioo father.Ohh shit .Umnapeleka Papuchi kwa mwanaume ambaye hana sifa ya kuwa baba wa mtoto wako haaaaaaa utachekwa na kusemwa sana kwa huo upuuzi wako ila najua kilichokuponza wewe ni ile tabia yako ya kusema huyu siyo Type yako.Kukulia mji ambao hauna Baba kama ukizaliwa mwanamke kamwe hutajua umuhimu wa kuwa mke wa MTU.Mwanamke hata uwe msomi kiasi gani unautajiri kiasi kama unazaa tu na wanaume bila kuolewa wanaume tunakuona Wewe ni Malaya tu na hauna tofauti na Machangudoa wengine Utaendelea kusemwa milele.Maana neno mume wangu huna ruhusa wa kulitumia utaishia kusema huyu MTU wangu nimezaa naye .Kuvalishwa shela siyo jambo dogo hata kidogo unaweza kuishia kuwachangia wenzako wafunge ndoa na wewe kwenda kucheza kwaito.Hakuna ushujaa wowote hata kama utamsomesha mwanao mpaka PHD Bado huwezi kuwa mfano mzuri katika jamii ndoa ni muhimu .Mungu kamuumba mwanaume kwa ujasili wa ziada kuzibiti nidhamu ya mtoto heshimu mume wako au yule anayeonesha anayo nia ya kukuoa maana tunaanza kuzaliwa kisha ndoa na mwisho kifo.Sasa wewe ni kuzaliwa kisha kifo pamoja na kuishi miaka 40 hapa duniani. Polea kwa kuzalishwa kisha kubwagwa maana huna sifa nzuri katlka jamii inayokuzunguka .Mji wenye baba ni muhimu kujenga ujasiri wa watoto katika maamuzi.
 
Hii ni sawa na kutuambia mwizi asisemwe kwa tabia yake ya wizi, muongo vivyo hivyo,muuaji kadhalika kitu ambacho siyo sawa lazima wasemwe ili hii tabia ya kuzaa nje ya ndoa ambayo kwa jina moja inaitwa uzinzi iishe kabisa kwa hiyo usizuie watu kukemea maovu
Wewe kama ni mkristo unatakiwa ujiulize ni kwanini YESU KRISTO hakutokea tu duniani ilihali uwezo huo upo badala yake akapita kwenye tumbo la mwanamke bila kupitia baba au mwanaume.

Na alikuja kwa ajili ya wadhambi, huwezi kukemea dhambi kwa kumuandama mwenye dhambi ambaye pengine alishatubu dhambi yake.

Kemea uzinzi si binadamu aliyewahi kuzini akaamua asiongeze dhambi ya uuaji kwa kutoa mimba. Unataka kumpiga mwanamke aliyekwisha zini mawe? YESU atachorachora chini na kama wewe si mdhambi lirushe basi hilo jiwe.
 
Wewe kama ni mkristo unatakiwa ujiulize ni kwanini YESU KRISTO hakutokea tu duniani ilihali uwezo huo upo badala yake akapita kwenye tumbo la mwanamke bila kupitia baba au mwanaume. Na alikuja kwa ajili ya wadhambi, huwezi kukemea dhambi kwa kumuandama mwenye dhambi ambaye pengine alishatubu dhambi yake. Kemea uzinzi si binadamu aliyewahi kuzini akaamua asiongeze dhambi ya uuaji kwa kutoa mimba. Unataka kumpiga mwanamke aliyekwisha zini mawe? YESU atachorachora chini na kama wewe si mdhambi lirushe basi hilo jiwe.
Asante mkuu
 
Mkuu Sisi wanaume tuliozaliwa kwenye familia zenye baba na mama wakati mwingine tunakuwa na tabia za ajabu sana juu ya wanawake na uzao wao.

Tunasahau kwamba inawezekana tupo duniani kwasababu huko nyumba kuna single mother alimlea babu au Bibi halafu uzao wa hao mabibi na mababu wakawazaa mama na baba zetu na sisi tukawepo duniani.
 
Mkuu Sisi wanaume tuliozaliwa kwenye familia zenye baba na mama wakati mwingine tunakuwa na tabia za ajabu sana juu ya wanawake na uzao wao.

Tunasahau kwamba inawezekana tupo duniani kwasababu huko nyumba kuna single mother alimlea babu au Bibi halafu uzao wa hao mabibi na mababu wakawazaa mama na baba zetu na sisi tukawepo duniani.
Kabisa mkuu umenena vyema
 
Halafu angalia wanaoponda Single maza maisha yao.
Wamezalisha vibinti vya Shule na kuvibaka juu..
Shame on them
Wewe kama ni mkristo unatakiwa ujiulize ni kwanini YESU KRISTO hakutokea tu duniani ilihali uwezo huo upo badala yake akapita kwenye tumbo la mwanamke bila kupitia baba au mwanaume. Na alikuja kwa ajili ya wadhambi, huwezi kukemea dhambi kwa kumuandama mwenye dhambi ambaye pengine alishatubu dhambi yake. Kemea uzinzi si binadamu aliyewahi kuzini akaamua asiongeze dhambi ya uuaji kwa kutoa mimba. Unataka kumpiga mwanamke aliyekwisha zini mawe? YESU atachorachora chini na kama wewe si mdhambi lirushe basi hilo jiwe.
 
kumsengenya mtu ni uovu pia!
Hii ni sawa na kutuambia mwizi asisemwe kwa tabia yake ya wizi, muongo vivyo hivyo,muuaji kadhalika kitu ambacho siyo sawa lazima wasemwe ili hii tabia ya kuzaa nje ya ndoa ambayo kwa jina moja inaitwa uzinzi iishe kabisa kwa hiyo usizuie watu kukemea maovu
 
Back
Top Bottom