Mbona unamtabiria negative?? Why usimtabirie positive??
I'm not a soothsayer,Huo si utabiri ni uzoefu wa waliopita hiyo njia kabla yake, bado yupo kwenye honeymoon, he will realise this when the honey is finished only the moon will be remaining. ....
 
I'm not a soothsayer,Huo si utabiri ni uzoefu wa waliopita hiyo njia kabla yake, bado yupo kwenye honeymoon, he will realise this when the honey is finished only the moon will be remaining. ....

Usikariri maisha what if uzoefu wake ukawa tofauti?? Kumbuka human beings are not predictable. Kilichotokea kwa uwajuao kinaweza kisitokee kwake hivyo usijiaminishe hivyo. Muombee heri
 
All the best mwaya…..
Kuzaa mtoto hakukufanyi ubadilishe personality yako ..ukimpata mtu unampenda ..unaona mnaendana vitu vingine don't matter..
Ukizaa hugeuki kuwa Zimwi mla watu
Asante dada yangu kumbe umenielewa sana. Kwanza mapenzi ya kweli yanachagua basi ? Mi huwa nawashangaa humu men wenzangu wanavyoweka itikadi.
 
Siku zote naamini single mother ni bora kuliko msichana aliyetoa mimba nyingi ili aendelee kuitwa msichana. Single mother hakutaka kubeba dhambi ya kuua .hivi binadamu angekuwa hermaphrodite (jinsia mbili)ni wanaume wangapi wangepona usingle father?
yaani mi namuheshimu sana mchumba angu maana f*la aliyekuwa naye alimlazimisha atoe mimba ndipo walipoachana
 

Waliachana kwa sababu alikataa kutoa mimba.
 
Kwanini unahisi ni mtego ?
 
Hapo ni sawa na kupanda mwembe karibu na shule ya msingi.
 
Sababu ya kuachana na mzazi mwenzio ni kutokutoa mimba.
 
Hapana sijazoea vya kubakizwa. Lengo langu niwaambie kuwa mapenzi hayachagui.
 
....Hapo ndio nami pamenishitua Mkuu.
Wiki tu baada ya kufahamiana na bibie ndugu yetu anaona aanze kuzungumzia Mambo ya Ndoa??
WIKI??? [emoji15][emoji15][emoji15]
Hayuko siriasi, ndoa sio sherehe
 
Halafu sijui umetuona Mafala!!!!!?
Umekaa ukafikiriaaaa, ukaona ututungie stori yako!?
 
Ushawah kumtambua mtu kwa relationship status yake hata siku moja?

Au ndugu yako ambae hana mahusiano ushawa kumuita we single boy/girl as their name?
Kama relationship status yake ni muhimu katika context ya conversation (kama hii),... KABISA.
 
Kitendo cha kukuelewa ndani ya wiki moja? Jiulize swali hilohilo amewakubali wangapi kama alivyokukubali wewe? Hawa wanawake wana mbinu nyingi sana linapofika suala la kutaka kuolewa.
 
Usikariri maisha what if uzoefu wake ukawa tofauti?? Kumbuka human beings are not predictable. Kilichotokea kwa uwajuao kinaweza kisitokee kwake hivyo usijiaminishe hivyo. Muombee heri
Huu ni ushauri tu, uamuzi anao yeye mwenyewe nilichofanya ni ku share experience si lazima afuate nilichoandika
 
Kwanini uende kwa "second hand material " wakati kuna 'first hand material kibao' kijana hao ma resisters wa kwenye ndoa ni hatari, kwanini alifaili mara ya kwanza jiulize?
Kwani kila ndoa inapofeli chanzo lazima ni mwanamke??
 
Kwahiyo mwanaume kumzalisha mwanamke na kumuacha ni sawa si ndiyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…