Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Nitakie heri mkuu
Umepokea zangu zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakie heri mkuu
I'm not a soothsayer,Huo si utabiri ni uzoefu wa waliopita hiyo njia kabla yake, bado yupo kwenye honeymoon, he will realise this when the honey is finished only the moon will be remaining. ....Mbona unamtabiria negative?? Why usimtabirie positive??
Sitaki nioe single mother lakini kwakuwa naijua nguvu ya upendo siwezi kujiapiza.
Kila kheri Kaka.
I'm not a soothsayer,Huo si utabiri ni uzoefu wa waliopita hiyo njia kabla yake, bado yupo kwenye honeymoon, he will realise this when the honey is finished only the moon will be remaining. ....
Asante dada yangu kumbe umenielewa sana. Kwanza mapenzi ya kweli yanachagua basi ? Mi huwa nawashangaa humu men wenzangu wanavyoweka itikadi.All the best mwaya…..
Kuzaa mtoto hakukufanyi ubadilishe personality yako ..ukimpata mtu unampenda ..unaona mnaendana vitu vingine don't matter..
Ukizaa hugeuki kuwa Zimwi mla watu
yaani mi namuheshimu sana mchumba angu maana f*la aliyekuwa naye alimlazimisha atoe mimba ndipo walipoachanaSiku zote naamini single mother ni bora kuliko msichana aliyetoa mimba nyingi ili aendelee kuitwa msichana. Single mother hakutaka kubeba dhambi ya kuua .hivi binadamu angekuwa hermaphrodite (jinsia mbili)ni wanaume wangapi wangepona usingle father?
Kwanza hongera kuingia kwenye mtego Wa bidada na pia pole kwa majukumu utayoyaanza mana kulea mtoto Wa kidume mwenzako sio kazi rahisi kwahyo nikutakie maisha mema ila mmejuana kwa mda mfupi sana mpka kufikia kutaka kuowa wanawake wazuri sana kuficha makucha pia dadisi kwann aliemzalisha hajakaa nae
Kwanini unahisi ni mtego ?Kwanza hongera kuingia kwenye mtego Wa bidada na pia pole kwa majukumu utayoyaanza mana kulea mtoto Wa kidume mwenzako sio kazi rahisi kwahyo nikutakie maisha mema ila mmejuana kwa mda mfupi sana mpka kufikia kutaka kuowa wanawake wazuri sana kuficha makucha pia dadisi kwann aliemzalisha hajakaa nae
Sababu ya kuachana na mzazi mwenzio ni kutokutoa mimba.Kaka singo maza hata ukikaa nae miaka mitatu na zaidi, hao wakinamama wana uzoefu wakuficha makucha yao akitimiza analo taka atakuonyesha "her true colour" ndo utajua kwanini mwanaumme mwezio alimzalisha alafu akamuacha, singo maza ni balaa wengi have "hidden habits"
Hapana sijazoea vya kubakizwa. Lengo langu niwaambie kuwa mapenzi hayachagui.Tumesha kusamehe kwa maneno mengi .by the way umeandika ili iweje labda.maana nimesoma mpka mwisho sioni kitu unachoomba ushauriwe
Ila maelezo yako yana mnogo wa ulimbukeni hivi.ni kama type ya wale wanao date na wasaidizi wetu wa kazi za ndani kwa kukosa confidence kwa kuwa huna hela mwenyewe inaonekana umezoea vya kibakiziwa
Hayuko siriasi, ndoa sio sherehe....Hapo ndio nami pamenishitua Mkuu.
Wiki tu baada ya kufahamiana na bibie ndugu yetu anaona aanze kuzungumzia Mambo ya Ndoa??
WIKI??? [emoji15][emoji15][emoji15]
Kama relationship status yake ni muhimu katika context ya conversation (kama hii),... KABISA.Ushawah kumtambua mtu kwa relationship status yake hata siku moja?
Au ndugu yako ambae hana mahusiano ushawa kumuita we single boy/girl as their name?
Huu ni ushauri tu, uamuzi anao yeye mwenyewe nilichofanya ni ku share experience si lazima afuate nilichoandikaUsikariri maisha what if uzoefu wake ukawa tofauti?? Kumbuka human beings are not predictable. Kilichotokea kwa uwajuao kinaweza kisitokee kwake hivyo usijiaminishe hivyo. Muombee heri
Kwani kila ndoa inapofeli chanzo lazima ni mwanamke??Kwanini uende kwa "second hand material " wakati kuna 'first hand material kibao' kijana hao ma resisters wa kwenye ndoa ni hatari, kwanini alifaili mara ya kwanza jiulize?
Kwahiyo mwanaume kumzalisha mwanamke na kumuacha ni sawa si ndiyo??Kaka singo maza hata ukikaa nae miaka mitatu na zaidi, hao wakinamama wana uzoefu wakuficha makucha yao akitimiza analo taka atakuonyesha "her true colour" ndo utajua kwanini mwanaumme mwezio alimzalisha alafu akamuacha, singo maza ni balaa wengi have "hidden habits"