Ulianza ufuska mapema sana, ndio ukome, ww ulienda kusoma au kufanya ngono, ndio uwaambie wenzako wasipate mimba mashuleni na watulie wasome, najua umeonja joto ya makaa ya mawe, nyie huwaga wabishi sana mkielezwa muachane na ngono mkiwa shuleni hamsikii, mnakuwa wajuaji wee, ila ukisha pata mimba, unaanza kumrudia Mungu na kulialia kutafuta huruma ya public, ndio ukome, safi umejifunza
 
Mbona wanaolewa2. Chamsingi awe mzuri au awe na pesa
 
Sasa mbona wanawazalisha Sana
Single mother wanaongezeka kwa kasi
Au mbegu zinatoka wap?
Siku hizi hadi wabusti na supu ya pweza, ndio maana hata wale wamama wanaouza karanga mbichi zilizochanganywa na nazi huko ma barabarani wameongezeka.
 
Hi great thinkers

Nawapa pole single Mothers wote wanaosimangwa. Si wote wamependa iwe hivyo. Wengine walisubiri wachumba mpaka dakika ya 90 bilabila.

Nawashauri single mothers kuweni wema leeni watoto wenu vizuri na mpunguze stress.

Wanaume ni wachache.
 
Single mzaza huwa watulivu Sana wakipata ndoa kuliko hivi vi graduate ambavyo haviambiliki

Shida inapokuja kwa single maza Ni kupasha viporo na maex wao
 
Najaribu kufikiria,kwa mfano kama baadhi ya sisi wanaume humu tungezaliwa kama huyu Dada inawezekana kungekuwa na sio single mothers(mlea peke)tu bali na watoto wakutosha 😀😀, Mungu ni wa rehema sana na ni fundi kuliko fahamu zetu.

Unajua nini?Sio wote wamependa na hata kama was planned, yasiyowezekana kwa mwanadamu na kwa mila na mifumo kuonekana sio rahisi sana kwa Mungu yanawezekana.
Mcheni Mungu kwa dhati ya mioyo yenu kama Dada ali vyosema,stand firm,jiaminini mnaweza kufanya vitu vikubwa na vya heshima.

Mimi ninawapenda and value you as per the God's love.

Wonderful
 
Wataalam uchwara ndio wanasababisha single mothers, utasikia "MWANAMKE AKIFIKISHA MIAKA 30 HAWEZI TENA KUZAA AU KUSHIKA MIMBA". Dada zetu wakisikia hivyo wanapaniki wanaanza kuzaa na yoyote atakayetokea mbele zao hata BODABODA!
 
Hii inategemea,na sio wote waliozalishwa na kuachwa ni Malaya,no Kuna baadhi ya wanaume ni wavivu na hwataki majukumu,hivyo mama anaona ni Bora waachane tu alee mtoto wake mwenyewe

Kuna wanawake wengine ni waaminifu Sana katika mahusiano yao lkn ulimbukeni na tamaa za kijinga za mwanaume anamletea wanawake wengine kila kukcha,so mwanamke anaona Bora kuwa single kuliko kuletewa magonjwa ndani

so kuwa single sio dhambi, acheni masimango kwani hao wapiowazalisha ni wanaume wenzenu
 
Fact
 
Single mother %90 hawataki kuolewa ila wanataka mwaume atakaye weza kuhudumia Mama na mtoto tu hawanaga mapenzi na mwanaume wanajiweka kwa mwanaume ili kupata pesa za kulea mwanae tu.
Uongo,Tena uongooo,Kuna watu Wana kazi zao wanajiweza,wanachohitaji ni upendo tu na company,kiufupi wanasumbuliwa na upweke tu,,sio kweli kuwa single mother wote hawajiwezi no
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…