Kaka wanaume wa humu ni wanafki sana au bas ngoja Leo niiishie hapo
 
Kila siku single mother single mother single mother hao baba za hao watoto wamekufa au wako hai? Kama wako hai mbona mmewakalia kooni hivyo akina mama pekee!!!
 
Wataalam uchwara ndio wanasababisha single mothers, utasikia "MWANAMKE AKIFIKISHA MIAKA 30 HAWEZI TENA KUZAA AU KUSHIKA MIMBA". Dada zetu wakisikia hivyo wanapaniki wanaanza kuzaa na yoyote atakayetokea mbele zao hata BODABODA!
😀 Kwan bodaboda sio watu? Mbn unadharau kaz za watu ww kuna wana wanalisha familia zao kupitia iyo kaz ya boda boda
 
Hakuna mimba ya bahati mbaya labda mtu awe amebakwa bila ridhaa yake.... vinginevyo, kila mtu akomae na shida zake.

Mungu akisha kupa Akili ukifanya uzembe ni juu yako... single mother labda aonewe huruma tu na single father au mwanaume kichwa mbovu asiye jielewa ndio amuoe....
 

Umenena vyema
Uko vizuri
Lakini Naomba nikutekebishe kidogo kwenye hi line ya kwanza
Usikate tamaa na ....YAO....YAO

Au kwa maana nyingine YETU yaani sisi wanaume
Ila msingi wa haya ni ninyi wenyewe
Mimi nmekuowa wewe
Wew unajijua n mke wangu mimi
Kwanini ufanye mapenzi tena na mzazi mwenzio?
Kwasababu jamii inaona
Ikiona matokeo yake ndio hayo ambayo mnaita kejeli




Pia sijaona neno lako kwao wanaume walioowa hawa dada zetu
Pia sijaona nno lako kwa dada zetu hawa tuliowaowa wakiwa walishazaa
 
Mwenyez mungu nwingi wa rehema kwa kweli awatie nguvu
 
Swala likishatokea basi unaenda nalo ivyo ivyo hamna namna kama umepangiwa utapata jamaa wa kukuoa utapata tu
 
VIP mkuu na wew ushaolewa Tena kwa harus ?? Au unaandika kufurahisha jukwaa tu ??
 
Nikiona au kusikia maneno Single mother huwa natafsiri kama ni mama aleaye mwenyewe mtoto aliyepanga kumzaa na mwanaume waliyeshindwa kumlea pamoja. Sababu zikiwa zikiwa kifo au kukosekana kwa maelewano na kushindwa kuishi pamoja.

Hawanaga shida, waelewa na wamekomaa kiakili na kifikra. Hata kwenye mahusiano mapya huwaga bora sana.


Kuna wale masingo maza wa mchongo ambao ndo wanapigwa vita. Nadhani huu ushauri wako ungewafaa sana. Na sina uhakika kama wanapatika huku.
 
Single mother wakionewa huruma waolewe hawachelewi kupasha kiporo na baba watoto wao.

Unakuta single mother anapewa hela nyingi za matumizi ya mtoto, sasa akiombwa mchezo atatoa kwa moyo wote huku akisaliti upande wa pili, hilo ndilo tatizo lao
 
😀 Kwan bodaboda sio watu? Mbn unadharau kaz za watu ww kuna wana wanalisha familia zao kupitia iyo kaz ya boda boda
Kkkk mkuu nazungumzia wale bodaboda wadogo wadogo wasuka virasta, mlegezeo na chini visendo na soksi. Wale watu wazima serious wale hawana shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…