Pongezi kwenu Single Mothers
ebu niweke sawa mkuu ili siku nyingine nisikosee
Kwa mtazamo wangu, single mother ni tofauti mno kwa sababu mama anabebeshwa mimba, sasa tangu kipindi hiki anahitaji matunzo kutoka kwa mwenza. Akimkataa atabaki peke yake, analeta mimba, anazaa, ananyonyesha mpaka mtoto akue.

Lakini huyo unayemwita single father, atamchukia mtoto akiwa ameshakua, wala hamnyonyeshi, wala haibadilishi diapers, wala hasumbukii maisha yake na ya mtoto. Yeye wala hakai nyumbani kwa sababu ya kubanwa na mtoto. Nadhani utofauti uko hapo mkuu
 
Wataalam uchwara ndio wanasababisha single mothers, utasikia "MWANAMKE AKIFIKISHA MIAKA 30 HAWEZI TENA KUZAA AU KUSHIKA MIMBA". Dada zetu wakisikia hivyo wanapaniki wanaanza kuzaa na yoyote atakayetokea mbele zao hata BODABODA!

Poor you ina Mana boda hapaswi kuzaa sio
 
Kwa mtazamo wangu, single mother ni tofauti mno kwa sababu mama anabebeshwa mimba, sasa tangu kipindi hiki anahitaji matunzo kutoka kwa mwenza. Akimkataa atabaki peke yake, analeta mimba, anazaa, ananyonyesha mpaka mtoto akue.

Lakini huyo unayemwita single father, atamchukia mtoto akiwa ameshakua, wala hamnyonyeshi, wala haibadilishi diapers, wala hasumbukii maisha yake na ya mtoto. Yeye wala hakai nyumbani kwa sababu ya kubanwa na mtoto. Nadhani utofauti uko hapo mkuu
na mm ndo nilikuwa namaanisha hv mkuu,umemaliza kila kitu
 
Baba Jeni Bai Bai[emoji2772]sikuizi hakuna mtu anataka kulea mtoto wa boy mwenzie jamani life changes ##yaani we lea tu mwanao sahau kuhusu mchumba au kuolewa :###umeyakanyaga ... shubamiti

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Single mother kipaumbele chao kiwe single father wenzao ili wale wasio na watoto waoane wenyewe tatizo single mother wako mstari wa mbele kutaka kuolewa na wasio single father
Huu ni ukweli kabisa. Hawatafuti masingle father wakijua kabisa single father ataenda kupasha kiporo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unaposema kama hukutaka,unataka kusema ulibakwa??.
Kama ulifanya kwa akili yako na ukapanua miguu hadi mimba ikaingia maana yake ilikuwa unajua unachokifanya.Ukizingatia ulikuwa na miaka 16-17 ulikuwa mkubwa wa kutosha acha visingizio.

Kama ulibakwa pole.
Na usikute alishapanua miguu zaidi ya mara moja ndo ikaja kunasa. Alikuwa mzoefu
 
Una Uhakika na unachokisema??
Je kama ana kipato Chake na Yuko vizuri kiuchumi anamlea mwanae,hapo unasemaje??

Ndiyo maana nimesema %90 na % 10 zilizo baki ni wanajimudu tu kimaisha na utakuta amekaa single zaidi ya miaka 3 na humkuti akibadilisha wanaume hovyo hovyo kwasababu anajiweza kiuchumi malazi na chakula siyo tatizo kwake na mtoto wake ana hudumiwa na aliye zaa nae, na Mwanamke kama huyu akimpata mpenzi huwezi kusikia akimuomba Ada ya mtoto wala matumizi ya mtoto na huwezi kumsikia ana mwambia mwanaume wake husinipende mimi ila mpende mwanangu kuliko mimi, ana maanisha Umuhudumie mtoto wake kwasababu baba mtoto kaingia mitini.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hii inategemea,na sio wote waliozalishwa na kuachwa ni Malaya,no Kuna baadhi ya wanaume ni wavivu na hwataki majukumu,hivyo mama anaona ni Bora waachane tu alee mtoto wake mwenyewe,Kuna wanawake wengine ni waaminifu Sana katika mahusiano yao lkn ulimbukeni na tamaa za kijinga za mwanaume anamletea wanawake wengine kila kukcha,so mwanamke anaona Bora kuwa single kuliko kuletewa magonjwa ndani,so kuwa single sio dhambi,acheni masimango kwani hao wapiowazalisha ni wanaume wenzenu

Mkuu bora single mother aliyezalishwa na kijana mwenzake kuliko awa single mother walio zaa na waume za watu

Mimi nilikuwa na mpenzi wangu single mother nilishangaa kumbe ailzalishwa na mume wa mtu tena huyo mume wa mtu ana umri sawa na Wazazi wangu yani umri wake ni miaka 67 na huyo mume wa mtu ana wake watatu

Nilikuwa najiuliza kwanini msichana mdogo hata miaka 24 unakubali kuzalishwa na mzee wa miaka 67 na ana wake watatu tena ndoa za kiislamu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Uongo,Tena uongooo,Kuna watu Wana kazi zao wanajiweza,wanachohitaji ni upendo tu na company,kiufupi wanasumbuliwa na upweke tu,,sio kweli kuwa single mother wote hawajiwezi no
Ni kweli ndiyo maana nimesema %90 wengi wao wanaingia kwenye mapenzi kwaajir ya kupata huduma ya mtoto kwasababu hawana uchumi mzuri na baba mtoto hatoi huduma, sasa ukitongoza mwanamke kama chakwanza atakwambia mpende mtoto kuliko yeye kwasababu yeye akili yake ipo kwa mwanae hajui hatima ya baadae ya mwanae itakuwaje.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Single parents Wana tabia zinazofanana kinacho watofautisha ni jinsia zao tu, Mmoja ana mchi na huyu mwingine ana kinu. Vilivyobaki ni similar hizi ni baadhi ya sifa zao.

1. Wanapenda uzinzi. Wakiwa faragha they don't think about outcomes ya ngono wanachowaza ni kupelekeana moto.

2. Selfish. As humans tuna chembe chembe ya ubinafsi ila ubinafsi wa single parents ni level nyingine wapo tayari kuumiza feelings za mtoto ili kusatisfy matakwa yao.

3. Lawama. Wanajua kulaumu wakianza kuongea unaweza kujua wao ndio victims pekee kwenye huu ulimwengu.

4. Subira ndio kitu wamekosa kitu kidogo anafanya maamuzi magumu.

5. Hii ndio mbaya zaidi wanafanya vizazi vyao vione usingle parent ni kitu kizuri.

6. Kupenda kujiweka smart kimuonekano na mavazi ukiona watoto wao sasa unabaki mdomo wazi mtoto kadumaa au anavaa matambala.
 
True.
mimi nimelelewa hivyo, except 1 and 5

maza kanipeleka kibabe sana but her love is unconditional and is enternal
 
Back
Top Bottom