Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Kwa mtazamo wangu, single mother ni tofauti mno kwa sababu mama anabebeshwa mimba, sasa tangu kipindi hiki anahitaji matunzo kutoka kwa mwenza. Akimkataa atabaki peke yake, analeta mimba, anazaa, ananyonyesha mpaka mtoto akue.ebu niweke sawa mkuu ili siku nyingine nisikosee
Lakini huyo unayemwita single father, atamchukia mtoto akiwa ameshakua, wala hamnyonyeshi, wala haibadilishi diapers, wala hasumbukii maisha yake na ya mtoto. Yeye wala hakai nyumbani kwa sababu ya kubanwa na mtoto. Nadhani utofauti uko hapo mkuu