Pongezi kwenu Single Mothers
Jibu mkuu,hii maada inaleta makasiriko kwa wajumbe.😃😃

Mwenye mapenzi ya kweli haoni singo wala asiye singo. Yeye anaona mwanamke anayempendeza moyo wake

Kila mtu anachagua akipendacho
 
Mwenye mapenzi ya kweli haoni singo wala asiye singo. Yeye anaona mwanamke anayempendeza moyo wake

Kila mtu anachagua akipendacho
Kwa maelezo yako ni bora single Mama kuliko anayetoa ujauzito 🙏😃
 
Hahaaaa,kama ukiwa na options mbili hapo juu utachagua ipi
Kama dakuona vile unavyokusanya data za Hilo swali Toka kwa wadaube Ili upate kuabua juu ya bimba uliyonayo kaba uitoe au uwe sigo baza

Sabahanini, Leo Nina bafua
 
Sioi yeyote kati yao.

Wengi wanaoa waliotoa mimba na sababu kubwa ni kua huwa hawajui kama alitoa mimba. Lakini wakijua nadhani penzi litakua hatiani labda kama na mwanaume alishiriki kuitoa hiyo mimba.

Kuhusu singo maza wala sitaki kuiongelea, inafamika ni mpaka kaburi lionekane.
 
Kama dakuona vile unavyokusanya data za Hilo swali Toka kwa wadaube Ili upate kuabua juu ya bimba uliyonayo kaba uitoe au uwe sigo baza

Sabahanini, Leo Nina bafua
Mimi ni ME mkuu ,nitake radhi na ugua pole
 
Provided that other factors remain constant hakuna mwanaume atakayeoa single mothers akamuacha ambaye hana mtoto
 
I think ots high time tuache kuwasumbua hawa wanawake na kuwa objectify kisoro.

The reason ya mwanamke kutoa mimba au kua singo maza n sisi sisi wanaume amd here we are trying to see yupi n bora.

Tuanze kuacha unafki wa kuwabagua between the two na tuwe honest kuhakikisha hawapitii vitu kama hivi na dharau like this kwenye jamii.
Povu ruksa!
 
Sioi yeyote kati yao.

Wengi wanaoa waliotoa mimba na sababu kubwa ni kua huwa hawajui kama alitoa mimba. Lakini wakijua nadhani penzi litakua hatiani labda kama na mwanaume alishiriki kuitoa hiyo mimba.

Kuhusu singo maza wala sitaki kuiongelea, inafamika ni mpaka kaburi lionekane.
Hahaaaaaaa😂😂😂Msimamo wa kuona kaburi ulipitishwa na kikao rasmi, lakini nimejiuliza hili swali. Je tumhukumu single mother kwa sababu aliamua kuzaa na kumuunga mkono anayetoa mimba ili akufurahishe?
 
Back
Top Bottom