Pongezi kwenu Single Mothers
...Bila ninyi hamna taifa...

Yaani bila singo mazazi hakuna taifa? Isn't this a little bit of a stretch, sir? [emoji15][emoji15]

Mengi mengine nakubaliana na wewe.

Na siku nyingine ukiweza tukumbuke na sisi singo fazazi...Wi niidi inkarejimenti tuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Simp!
 
Yaani bila singo mazazi hakuna taifa? Isn't this a little bit of a stretch, sir? [emoji15][emoji15]

Mengi mengine nakubaliana na wewe.

Na siku nyingine ukiweza tukumbuke na sisi singo fazazi...Wi niidi inkarejimenti tuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Simp!
it's their time they are vital Kwa hii life
 
Ebwanaa eehh mida ya Saa Moja jion ya Leo, nlitoka Mara Moja kununua mahitaji. Basi nikafika Kwa duka fulani nikapaki Pikipiki huyo nikazama.

Wakati nanunua mahitaji, akaingia bidada Mmoja ambaye nilipokuona, kwanza nikashtuka, ni yeye au? Bidada amenonaa, ametakata kwelikweli, Kazidi kua mzuriii kwelikweli na ule weupe wake basi na Rastaa zake hahahahah!

Ipo hivi mwaka 2020 nikiwa Wilaya fulan kikazi, ndioo nilijuana na huyu Mwanamke, akiwa singo mama wa watoto wawili, aliyeachwa na mmewe wa ndoa. Basi bidada wa watu akiwa anapambana kwanza yeye mwenyewe ale, avae aishi, bado Kuna watoto.

Tukawa wapenzi banaaa, tukawa tunasaidiana saidiana hivyo kimtindo Maisha yanasonga. (bibi storia yake na mumewe aliwahi nisimulia ,mpaka nikamuonea huruma , alikua halali bila kumeza dawa zakusaidia usingizi, sababu ya mawazo)

Basi Maisha yakaenda, baadae nikahama huo Mkoa kabisaa. Hivo yakabaki Mawasiliano tuuu yahapa napale na baadae Mawasiliano yakakata, alikua hapatikani.

Hatimaye leo nimekutana naye, ananiambia G, Mimi nipo Mkoa huu huu Sasa twende uone ofisi yangu.

Kabla sijalipia, tayari anamuuliza muuzaji, vinagharimu ngapi? Basi akachukua navyake, akalipia vyoteee tukasepa.

Nyieee, ana Toyota Raum, basi ikabidi kapikipiki kangu nikaache hapo kwanza. Nafika kwenye Ofisi yake, aiseee bonge la duka la mavazi yaani Si Viatu, Si Nguo kuanzia za vichanga mpaka wakubwa, nguo za Kila aina, kubwaaaa kubwaaaaaa kaunganisha frame 3.

Niliwishiwa pozi, nimebaki kumpongeza tu, hongera banaa, hongera Sanaa, Mungu kakupiganiaaa, Hongeraaa sanaaa n.k .

Ananiambia G Sasa ninafanya ujenzi wa Nyumba yangu. Nikamuuliza, imekuaje kuaje? umeinuka hivi. Ndo ananiambia kua waliamuaga kuuza shamba waloachiwa na baba yao, wakagawana ,yeye akapewa Milioni 6 .

Ndio hapo akainukiaa, Bidada naniambia Kwa Sasa mizigo yake anafata Kenya, Uganda, na Dar Kwa mbali. Hakika Maisha yasikie. Imebidi nimchombeze masikion kumpima kama bado ananielewa "Vipi hiyo kitu bado inahamu namimi?”

Akacheka kama falaaaaa huku ananiambia, hujaaachaga tuu mambo yako, usijaliiiii lakini kua na amani.

Nikahisi ananitania, nikamuuliza tena, "nitaipataata???".

Akajibu eeehh maadam tumeonana leo, Mawasiliano yapo, nitakupea tu!

Daaahh akanisindikiza mpaka pale nilipoacha tukutuku, nikasepa.

Aiseee kama mnaachana namtu au mnapotezana, usimwache Kwa matusi, vipigo, kejeli au dharau!

Maisha yanabadilika sana!
 
Wakuu nilimpa namba yangu ,akanitext , ila baadae nmemtext hajanijibu mpaka Sasa ?.

Au ndo mwanamke akipata? Au Yuko bize?🤣

Nakua namuhao muhao, ujue mtoto kapendeza aiseeee yaan katakata kweli
 
Jamaa stry zako ni wanawake tu😂😂😂😂.. na ndio kwanza january bado. Duka liko wapi nataka nguo za december za binti yangu.
 
Waziri wa Maji kwenye ubora wako...

Safi sana hapo wema wa kusambaza Maji unataka ukulipe tena
 
Sasa unaleta story za single mother sijui mara masuala ya diplomasia ukiachana na mwanamke ya nini??
Relax , point yangu ilikua, Kwa zaidi ya Mwaka na miezi bila kuonana namtu huyu.

Nabado tumeonana ,imekua kama vile tulikua hatujapotezana.

Ingekua Haina Thaman kama tulipotezana au kuachana Kwa Magonvi!!.
 
Jamaa stry zako ni wanawake tu😂😂😂😂.. na ndio kwanza january bado. Duka liko wapi nataka nguo za december za binti yangu.
Hahahaha Sehem ya kurelaxisha ubongo wangu Mara baada ya mahangaiko ya Maisha ... Ni Wanawake !! 🤣🤣

Kama ambavyo wewe unapiga gambee Mkuu.

Kila mtu na ulevi wake !!
 
Hongera mbususu imejileta yenyewe free of charge,free from tanesco,no tax ushindwe wewe tu.
 
Back
Top Bottom