Mbuzi hanenepi siku mnada umeshaamua na siku imefika nenda tu ...hakuna namna
 
Ila wanawake tuna huruma sana. Eti limwanamke! Dah.
Nyoosha maelezo wewe ndo unaenda kuolewa, na mahari yenyewe hauna
Kama kweli uendi kulelewa si utafute binti uanze nae maisha? Bureeee
Ndoa yenyewe haiwez kudumu,sema tu namwombea mwanamke asithubutu kuzaa na huyu kichwa maji
 

Kwa fikra ulizonazo na level uliyomweka huyo mwanamke huna uhalali wa kumuoa.

Umeshamfanya kama mwanamke asiye na thamani, na ndivyo utakavyo mtreat maishani mwake.

Mwache tu mtoto wa watu na wewe nenda katafuta mwanamke ambaye unafikiri anastahili kuwa treated right.
 

You wish?

Kilichonilete kwenu ni kwamba, hapa jukwaaani imetokea kupendana na binti mrembo mmoja matata sana, binti ana degree zake mbili, magari mawili, nyumba kali ya ghorofa pande za Mbweni, na watoto wake wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…