Pongezi kwenu Single Mothers
Ndugu zanguni, Nawatakia Heri na Fanaka kwenye mwaka mpya ujao 2023.

Mimi ni kijana barobaro, nisiye na gari wala nyumba ya kifahari, wala mashamba wala degree kama nyie wenzangu mlivyo jaliwa.

Shughuli zangu ni ndogondogo na nina kiosk cha kuuza vinywaji baridi hapo Coco Beach.

Kilichonilete kwenu ni kwamba, hapa jukwaaani imetokea kupendana na binti mrembo mmoja matata sana, binti ana degree zake mbili, magari mawili, nyumba kali ya ghorofa pande za Mbweni, na watoto wake wawili.

Mimi sina nyumba, sina gari, sina elimu nona mtoto mmoja tu niliyempata ujanani.

Huyu binti ninataka kumuoa sio kwa ajili ya ufahari alionao, nataka nimuoe kwasababu nampenda sana.

Leo ndio siku ya mimi kwenda kutambulishwa kwao, na katika vitu ambavyo vitanifanya nionekane mtoto mbaya ni msimamo wangu na mtazamo wangu juu ya nadharia nzima ya mahari.

Mimi nafahamu kwamba mahari tunalipa ili kuwashukuru wazazi kwa kumlea vyema binti yao. Sasa limwanamke limezalishwa na mianaume miwili tofauti, nilipe mahari ya nini?

Au nyie wana nzengo mnasemaje?
Mbuzi hanenepi siku mnada umeshaamua na siku imefika nenda tu ...hakuna namna
 
Ila wanawake tuna huruma sana. Eti limwanamke! Dah.
Nyoosha maelezo wewe ndo unaenda kuolewa, na mahari yenyewe hauna
Kama kweli uendi kulelewa si utafute binti uanze nae maisha? Bureeee
Ndoa yenyewe haiwez kudumu,sema tu namwombea mwanamke asithubutu kuzaa na huyu kichwa maji
 
Ndugu zanguni, Nawatakia Heri na Fanaka kwenye mwaka mpya ujao 2023.

Mimi ni kijana barobaro, nisiye na gari wala nyumba ya kifahari, wala mashamba wala degree kama nyie wenzangu mlivyo jaliwa.

Shughuli zangu ni ndogondogo na nina kiosk cha kuuza vinywaji baridi hapo Coco Beach.

Kilichonilete kwenu ni kwamba, hapa jukwaaani imetokea kupendana na binti mrembo mmoja matata sana, binti ana degree zake mbili, magari mawili, nyumba kali ya ghorofa pande za Mbweni, na watoto wake wawili.

Mimi sina nyumba, sina gari, sina elimu nona mtoto mmoja tu niliyempata ujanani.

Huyu binti ninataka kumuoa sio kwa ajili ya ufahari alionao, nataka nimuoe kwasababu nampenda sana.

Leo ndio siku ya mimi kwenda kutambulishwa kwao, na katika vitu ambavyo vitanifanya nionekane mtoto mbaya ni msimamo wangu na mtazamo wangu juu ya nadharia nzima ya mahari.

Mimi nafahamu kwamba mahari tunalipa ili kuwashukuru wazazi kwa kumlea vyema binti yao. Sasa limwanamke limezalishwa na mianaume miwili tofauti, nilipe mahari ya nini?

Au nyie wana nzengo mnasemaje?

Kwa fikra ulizonazo na level uliyomweka huyo mwanamke huna uhalali wa kumuoa.

Umeshamfanya kama mwanamke asiye na thamani, na ndivyo utakavyo mtreat maishani mwake.

Mwache tu mtoto wa watu na wewe nenda katafuta mwanamke ambaye unafikiri anastahili kuwa treated right.
 
Ndugu zanguni, Nawatakia Heri na Fanaka kwenye mwaka mpya ujao 2023.

Mimi ni kijana barobaro, nisiye na gari wala nyumba ya kifahari, wala mashamba wala degree kama nyie wenzangu mlivyo jaliwa.

Shughuli zangu ni ndogondogo na nina kiosk cha kuuza vinywaji baridi hapo Coco Beach.

Kilichonilete kwenu ni kwamba, hapa jukwaaani imetokea kupendana na binti mrembo mmoja matata sana, binti ana degree zake mbili, magari mawili, nyumba kali ya ghorofa pande za Mbweni, na watoto wake wawili.

Mimi sina nyumba, sina gari, sina elimu nona mtoto mmoja tu niliyempata ujanani.

Huyu binti ninataka kumuoa sio kwa ajili ya ufahari alionao, nataka nimuoe kwasababu nampenda sana.

Leo ndio siku ya mimi kwenda kutambulishwa kwao, na katika vitu ambavyo vitanifanya nionekane mtoto mbaya ni msimamo wangu na mtazamo wangu juu ya nadharia nzima ya mahari.

Mimi nafahamu kwamba mahari tunalipa ili kuwashukuru wazazi kwa kumlea vyema binti yao. Sasa limwanamke limezalishwa na mianaume miwili tofauti, nilipe mahari ya nini?

Au nyie wana nzengo mnasemaje?

You wish?

Kilichonilete kwenu ni kwamba, hapa jukwaaani imetokea kupendana na binti mrembo mmoja matata sana, binti ana degree zake mbili, magari mawili, nyumba kali ya ghorofa pande za Mbweni, na watoto wake wawili
 
Back
Top Bottom