Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbuzi hanenepi siku mnada umeshaamua na siku imefika nenda tu ...hakuna namnaNdugu zanguni, Nawatakia Heri na Fanaka kwenye mwaka mpya ujao 2023.
Mimi ni kijana barobaro, nisiye na gari wala nyumba ya kifahari, wala mashamba wala degree kama nyie wenzangu mlivyo jaliwa.
Shughuli zangu ni ndogondogo na nina kiosk cha kuuza vinywaji baridi hapo Coco Beach.
Kilichonilete kwenu ni kwamba, hapa jukwaaani imetokea kupendana na binti mrembo mmoja matata sana, binti ana degree zake mbili, magari mawili, nyumba kali ya ghorofa pande za Mbweni, na watoto wake wawili.
Mimi sina nyumba, sina gari, sina elimu nona mtoto mmoja tu niliyempata ujanani.
Huyu binti ninataka kumuoa sio kwa ajili ya ufahari alionao, nataka nimuoe kwasababu nampenda sana.
Leo ndio siku ya mimi kwenda kutambulishwa kwao, na katika vitu ambavyo vitanifanya nionekane mtoto mbaya ni msimamo wangu na mtazamo wangu juu ya nadharia nzima ya mahari.
Mimi nafahamu kwamba mahari tunalipa ili kuwashukuru wazazi kwa kumlea vyema binti yao. Sasa limwanamke limezalishwa na mianaume miwili tofauti, nilipe mahari ya nini?
Au nyie wana nzengo mnasemaje?
nakazia, hao inabidi upewe bure, maana umemfanyia favor
Aisee Kaka hiki ni kiswahili kweli?!Kama muhoaji toa mahali acha sababu
Me pia aminishangaza😢Limwanamke..dah
ndiyo, kuliko azeekee nyumbaniAngekuwa mtoto wako ungemuozesha bure?
Hatulipi mahari kwasababu ya kuwashukuru wazazi kwa kumtunza binti. Tunalipa mahari kuonyesha upendo wetu kwa familia na wazazi wa binti.Linalokupendeza mkuu ndilo ufanye
Nipo kwenye ibada,sijasahau jina lako mkuu👊Hatulipi mahari kwasababu ya kuwashukuru wazazi kwa kumtunza binti. Tunalipa mahari kuonyesha upendo wetu kwa familia na wazazi wa binti
Aisee Kaka hii ni kiswahili kweli?!
Wanawake tuna kazi sana aisee.Me pia aminishangaza😢
Ndoa yenyewe haiwez kudumu,sema tu namwombea mwanamke asithubutu kuzaa na huyu kichwa majiIla wanawake tuna huruma sana. Eti limwanamke! Dah.
Nyoosha maelezo wewe ndo unaenda kuolewa, na mahari yenyewe hauna
Kama kweli uendi kulelewa si utafute binti uanze nae maisha? Bureeee
Walaaa,easy tu.Andika ya MTU ndo inakuelekeza kuwa ni wa kuhurumiwa na kusamehewaWanawake tuna kazi sana aisee.
Yaani¡ hivyo visentensi vinaashiria hana true love kabisa huyo. Roho mtakatifu amvuvie huyo mdada agundue kuwa huyu kaka hafai.Limwanamke..dah
Ndugu zanguni, Nawatakia Heri na Fanaka kwenye mwaka mpya ujao 2023.