Ila wanawake tuna huruma sana. Eti limwanamke! Dah.
Nyoosha maelezo wewe ndo unaenda kuolewa, na mahari yenyewe hauna
Kama kweli uendi kulelewa si utafute binti uanze nae maisha? Bureeee
Hata mimi naona anapinda pinda tu
 
Msimamo wangu, hatutaenda kukaa kwake Mbweni, atakuja kukaa kwangu Mwananyamala kwa Mama Zakaria.

Sistatumia gari yake, tukitaka kusafiri pamoja ni daladala au bajaji au bolt.

Vitegauchumi vyake ni vyake. Wakurya hatuzinguliwagi kiboya
Ila wanawake tuna huruma sana. Eti limwanamke! Dah.
Nyoosha maelezo wewe ndo unaenda kuolewa, na mahari yenyewe hauna
Kama kweli uendi kulelewa si utafute binti uanze nae maisha? Bureeee
 
Take the risk, japo kutokana na maelezo yako, ukiachilia watoto. Ukwasi wa mpenzi wako na kiwango chake cha elimu ukilinganisha na ya kwako ni hatari sana kwa ustawi wa ndoa.
 
Take the risk, japo kutokana na maelezo yako, ukiachilia watoto. Ukwasi wa mpenzi wako na kiwango chake cha elimu ukilinganisha na ya kwako ni hatari sana kwa ustawi wa ndoa.
Nimemshampa angalizo, elimu yake mwisho ni kwenye kizingiti cha mlango wa kuingilia ndani, aiache huko nje
 
Sasa,kwa nini umetaja mali anazomiliki huku ukijitetea kwamba hutozitumia?Unamaanisha nini hapo?
 
Ni halali mkuu maana mahali hailipwi Kwa kigezo cha idadi ya watoto Bali hitaji lako lililopelekea kupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…