Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Tena kubwaWanawake tuna kazi sana aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kubwaWanawake tuna kazi sana aisee.
Nipo kwenye ibada,sijasahau jina lako mkuu👊
AmenIbada idumu
Hata mimi naona anapinda pinda tuIla wanawake tuna huruma sana. Eti limwanamke! Dah.
Nyoosha maelezo wewe ndo unaenda kuolewa, na mahari yenyewe hauna
Kama kweli uendi kulelewa si utafute binti uanze nae maisha? Bureeee
True man, mimi ndio naenda kuheshimisha ukoo wake kwamba naye kaolewanakazia, hao inabidi upewe bure, maana umemfanyia favor
Hata angekuwa bikira ningewapa bureAngekuwa mtoto wako ungemuozesha bure?
Ila wanawake tuna huruma sana. Eti limwanamke! Dah.
Nyoosha maelezo wewe ndo unaenda kuolewa, na mahari yenyewe hauna
Kama kweli uendi kulelewa si utafute binti uanze nae maisha? Bureeee
Ndugu zanguni, Nawatakia Heri na Fanaka kwenye mwaka mpya ujao 2023.
Mimi ni kijana barobaro, nisiye na gari wala nyumba ya kifahari, wala mashamba wala degree kama nyie wenzangu mlivyo jaliwa.
Shughuli zangu ni ndogondogo na nina kiosk cha kuuza vinywaji baridi hapo Coco Beach.
Kilichonilete kwenu ni kwamba, hapa jukwaaani imetokea kupendana na binti mrembo mmoja matata sana, binti ana degree zake mbili, magari mawili, nyumba kali ya ghorofa pande za Mbweni, na watoto wake wawili.
Mimi sina nyumba, sina gari, sina elimu nona mtoto mmoja tu niliyempata ujanani.
Huyu binti ninataka kumuoa sio kwa ajili ya ufahari alionao, nataka nimuoe kwasababu nampenda sana.
Leo ndio siku ya mimi kwenda kutambulishwa kwao, na katika vitu ambavyo vitanifanya nionekane mtoto mbaya ni msimamo wangu na mtazamo wangu juu ya nadharia nzima ya mahari.
Mimi nafahamu kwamba mahari tunalipa ili kuwashukuru wazazi kwa kumlea vyema binti yao. Sasa limwanamke limezalishwa na mianaume miwili tofauti, nilipe mahari ya nini?
Au nyie wana nzengo mnasemaje?
NB:-
Msimamo wangu, hatutaenda kukaa kwake Mbweni, atakuja kukaa kwangu Mwananyamala kwa Mama Zakaria.
Sistatumia gari yake, tukitaka kusafiri pamoja ni daladala au bajaji au bolt.
Vitegauchumi vyake ni vyake. Wakurya hatuzinguliwagi kiboya
Nimemshampa angalizo, elimu yake mwisho ni kwenye kizingiti cha mlango wa kuingilia ndani, aiache huko njeTake the risk, japo kutokana na maelezo yako, ukiachilia watoto. Ukwasi wa mpenzi wako na kiwango chake cha elimu ukilinganisha na ya kwako ni hatari sana kwa ustawi wa ndoa.
Sasa,kwa nini umetaja mali anazomiliki huku ukijitetea kwamba hutozitumia?Unamaanisha nini hapo?Ndugu zanguni, Nawatakia Heri na Fanaka kwenye mwaka mpya ujao 2023.
Mimi ni kijana barobaro, nisiye na gari wala nyumba ya kifahari, wala mashamba wala degree kama nyie wenzangu mlivyo jaliwa.
Shughuli zangu ni ndogondogo na nina kiosk cha kuuza vinywaji baridi hapo Coco Beach.
Kilichonilete kwenu ni kwamba, hapa jukwaaani imetokea kupendana na binti mrembo mmoja matata sana, binti ana degree zake mbili, magari mawili, nyumba kali ya ghorofa pande za Mbweni, na watoto wake wawili.
Mimi sina nyumba, sina gari, sina elimu nona mtoto mmoja tu niliyempata ujanani.
Huyu binti ninataka kumuoa sio kwa ajili ya ufahari alionao, nataka nimuoe kwasababu nampenda sana.
Leo ndio siku ya mimi kwenda kutambulishwa kwao, na katika vitu ambavyo vitanifanya nionekane mtoto mbaya ni msimamo wangu na mtazamo wangu juu ya nadharia nzima ya mahari.
Mimi nafahamu kwamba mahari tunalipa ili kuwashukuru wazazi kwa kumlea vyema binti yao. Sasa limwanamke limezalishwa na mianaume miwili tofauti, nilipe mahari ya nini?
Au nyie wana nzengo mnasemaje?
NB:-
Msimamo wangu, hatutaenda kukaa kwake Mbweni, atakuja kukaa kwangu Mwananyamala kwa Mama Zakaria.
Sistatumia gari yake, tukitaka kusafiri pamoja ni daladala au bajaji au bolt.
Vitegauchumi vyake ni vyake. Wakurya hatuzinguliwagi kiboya
Miongoni mwa vitu ninavyovidharau na kuvionaAsabuhi njema.![]()
Katika Watanzania 4, 1 ni kichaa.Sasa,kwa nini umetaja mali anazomiliki huku ukijitetea kwamba hutozitumia?Unamaanisha nini hapo?
Be blessedAmen
We una akili mkuuIlipaswa wewe ndo ulipiwe mahari
Ukoo umchangieIlipaswa wewe ndo ulipiwe mahari