Do not argue or give agreement to such things. Do not nod or give silent approval. Simply give them a few words of a well articulated opinion and move along. Agreeing to disagree is more suitable for us with intelligence.
 
Wanawake wengi (most of them) wamekuwa single mothers kwasababu ya kiburi, jeuri, ujuaji na umalaya. Wanasababisha watoto wengi wa kiume siku hizi wawe na tabia za kike kike tu. Kwasababu wamelelewa kike kike. Ndo maana mashoga wameongezeka siku hizi
 
Ni Bora kuwa singo maza kuliko kuwa lesbian.
Ila wanachotakiwa ni kuwalea watoto kwa maadili.
Watoto wa kiume walelewe kama wanaume. Sio mtoto wa kiume anakuwa kama wa kike.
Mambo yake mengi ya kike kike.!! Mama zetu wenyewe walitulea baba zetu wakiwa zao kutafuta huko.
Dingi Ana wake 10 huko unadhani atakuwa responsible na kila mtoto?
Kuwa singo maza sio sababu ya kudekeza watoto.
Watoto wanadekezwa mpaka hata akipata mwanaume wa kuishi naye anaona kero
Maana huwezi hata kumfundisha chochote anaona unamtesa
 
Please tunaomba mrejesho.
 
Hamna cha kusherekea kuhusu single mom

Maana sio kitu cha kujivunia km jamii..

Mbaya zaidi pale unapoona mtu anajiproud kabisa kuwa single mom kwa upumbavu wake wa kulala na wame za watu,au kutanua mapaja kwa wahuni...

Yes tuna case chache za single mom ambazo ni tofauti kdg ila wengi wao ni matokeo ya ujinga wao wenyewe hivyo sio busara kuwapongeza single Maza wakati wachache ndo wanastahili hiyo pongezi..

Huwezi kupongeza wanafunzi kumi wakati waliofaulu ni watatu..Hilo darasa litajaa vilasa...

Katika single mom 10, watatu wanastahili pongezi wengine ni wajinga wajinga tu ambao in fact wanahitaji kukumbushwa tu kwamba ni wajinga na wasipokuwa makini watazalishwa na wababa kumi tofauti..

Ukweli unauma ila tiba.

Mabinti wengi tu wapo busy kuvizia wame za watu kisa Wana uchumi na haitachukua miaka 5 mbele ndo tutawaona wameweka maneno kwenye bio "proudly single mom'

Eti nayo ni sifa
 
Hellow

Wanawake wa sikuizi ni wale wa 50/50 sasa kwa hali ambayo naiona kwa hawa single mother siku watabadilisha majina ya watoto na kuwapa majina ya uko wao

Kama single mother ana zuia mtoto asimuone baba yake kisa tu halikuwa hampi hela ya matunzo kinacho umiza wanaume wengi kutotoa hela ya matuzo ni una mpa mama hela ya nguo za mtoto au matibanu yeye anageuza matumizi anaenda suka na kununua vijora mtoto anaambulia pilau tu

Af anasuka anaenda kudanga ni bora wanawake mnge change na kutoa ujuaji wenu
 
Sijawahi kusikia ila inapendeza pia. Kwa sababu wanaume wengi wanabambikiwa watoto ila jina la mama ni la mama😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…