Pongezi kwenu Single Mothers
Unajua kama ushawah shika hela mingi alafu ukaanza kushika senti senti inakuw shida. Siku hizi nahesab hela mara mbili mbili yani sielew😀
Jambo la muda tu ilo mku litakaa sawa au fungua chanzo kingine cha mapato 😂
 
Kuna baadhi ya wanawake wanawalisha sumu watoto wawachukie baba zao. Chunguza sana; ndio maana team KATAA NDOA wanalalama kwa sababu wanakutana na wanawake wa design hii
Shida unamuokota malaya wa kimboka unaenda kuzaa nae et atabadilika mbeleni ndio impact yake
 
Jambo la muda tu ilo mku litakaa sawa au fungua chanzo kingine cha mapato 😂
Unafikiri siingizi pesa bas😀 nataka kushika mamilioni
Tatizo bongo hakuna sehem za kuingiza pesa
1. Sperm Bank
2. Blood Bank

ningekuw na account nyingi sana huko
 
Embu chukua izo ulizo vuna af twende china kuzoa vitu kule ulete bongo hap
 
kuna sehemu nina mtoto, wakatoa jina la mtoto kabla yangu tena bila kunishirikisha

nilipo jua nikatuma ujumbe, aliye toa jina la mtoto amuhudumie maana ana mamlaka nae na ni wa ukoo wake nisitafutwe kutoa matumizi

aliye kuwa katoa jina ni baba wa mwanamke (jina lilisitishwa mara 1 )

likawekwa nalo taka na huduma natoa nasubiri mtoto achangamke nioe ama nijiunge na wakataa ndoa.

sasa mtoto uhudumii bado wataka aitwe jina la ukoo wako kwa misingi gani
 
Akili yangu kabla sijabadilika niliwaza sana kwenda China. Kuja kucheki wale wanaoenda China nimewaacha nyuma sana. Nikaona bora nikomae bongo hapa.

Fursa ya kwenda China kuna wengine zinawakubali kinyama
 
Shida inakuja unaenda china unaingia tamaa ya kwenda zunguka hong kong mara beijing lazima mtaji utadidimia
 
kuna sehemu nina mtoto, wakatoa jina la mtoto kabla yangu tena bila kunishirikisha

nilipo jua nikatuma ujumbe, aliye toa jina la mtoto amuhudumie maana ana mamlaka nae na ni wa ukoo wake nisitafutwe kutoa matumizi

aliye kuwa katoa jina ni baba wa mwanamke (jina lilisitishwa mara 1 )

likawekwa nalo taka na huduma natoa nasubiri mtoto achangamke nioe ama nijiunge na wakataa ndoa.

sasa mtoto uhudumii bado wataka aitwe jina la ukoo wako kwa misingi gani
Ukioa itapendeza zaid hapo mtoto ata pata mapenzi ya baba na mam pamoja uku anayaona labda utangie mapema
 
Back
Top Bottom