Pongezi kwenu Single Mothers
Shida inakuja unaenda china unaingia tamaa ya kwenda zunguka hong kong mara beijing lazima mtaji utadidimia
Gharama za kula China ni kubwa. Tatizo pia unaweza kwenda ukakuta Mali sio safi hapa nazungumzia Mali za nguo. Sema kuna kampuni za kuagiza mzigo bila hata ya kwenda huko. Toka Covid 19 kuna utofauti mkubwa. .

Una ndoto za kuagiza bidhaa gan China?
 
Gharama za kula China ni kubwa. Tatizo pia unaweza kwenda ukakuta Mali sio safi hapa nazungumzia Mali za nguo. Sema kuna kampuni za kuagiza mzigo bila hata ya kwenda huko. Toka Covid 19 kuna utofauti mkubwa. .

Una ndoto za kuagiza bidhaa gan China?
Viatu na simu
 
Unapokua single mother unatakiwa kujua kuwa wajibu wako wa kwanza katika maisha yako ni kwa mwanao/wanao, mwanaume anakuja baadaye hivyo wakati ukitafuta mwanaume ni lazima uhakikishe kuwa atakua tayari kukuchukua wewe na mwanao, nyie ni kama mwili mmoja, ni mwanao hivyo anatakiwa kulikubali hilo. Kama halikubali hilo basi muambie kwa heri kwani wewe tayari una mtoto na huwezi kumrudisha tumboni.

Najua wadada wengi wanapenda kuwaacha watoto wao kwa bibi zao, si jambo baya kama mnawaacha kwa mapenzi na si kwakua wanaume hawataki. Mtoto anahitaji malezi ya Mama na kusema kweli kwa kiasi kikubwa watoto wengi wanaharibikiwa kwa kutelekezwa kwa Bibi hasa wakijua Mama zao wapo hai na hawataki kuwachukua. Ni jambo moja kama mtoto mwenyewe anapenda kukaa na Bibi yake na ni jambo jingine kabisa kama mtoto haruhusiwi kukaa na Mama yake.

Labda nikuambie tu kuwa kuna mambo mawili, Mama yako atazeeka na kushindwa kumlea lakini pia hataishi milele, hembu tuchukulie akitangulia yeye ( najua hamna mtu anayependaila ni lazima) huyo mtoto atakuja kuishi na nani? Si utalazimika kumchukua je mwanaume kama huyo atakubali kumlea wakati alsihamkataa? Lakini ukatangulia wewe, Mama yako naye akakufuata je huyo mwanaume anaweza kumlea mwanao au ndiyo mwanao anaenda kuwa ombaomba?

Hembu muangalie mwanao zaidi, alishakataliwa na Baba yake mzazi, umebaki wewe Mama yake, kama nawewe ukimkataa eti kisa mwanaume wako hamtaki utakua na tofauti gani na huyo Baba yake ambaye alimkataa, lakini ukimkataa na wewe ataenda wapi? Atajisikiaje? Yeye ni bado mtoto, hembu kumbuka ulivyojisikia siku ulipotelekezwa na Baba yake, sasa yeye ni mtoto unafikiri atajisikiaje kama akijua katelekezwa hatakiwi na Baba yake halafu tena na Mama yake unamkataa?

Hapana kama mwanaume hataki kumkubali mwanao basi tupa kule, kama hawezi kuishi na wewe pamoja na mwanao basi hapaswi kuwa mume wako kwani wewe tayari una mtoto. Muambie kabisa wewe una mtoto hivyo aende tu akatafute hao ambao hawana watoto aoe (ni ngumu ila ndiyo ukweli) kumbuka hapo sio kwamba hataki kukusaidia kulea bali hataki hata wewe uwe karibu na mwanao, hivyo kwa maoni yangu huyo si mwanaume sahihi na hihitaji ndoa na mwanaume wa namna hiyo.

Kwa post hii kuoa single mothers kazi binties ambao hamjazaa mjitunze sanaa aisee
 
Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me.

One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day.

Single mother is a parent who stayed when things went awry and the man walked away. The single mother stood by her children and took the challenge head on! To me a single mother is the definition of wonder woman. Her salary and everything is not hers but belongd to her children.

She is the man and woman of the house, she pays the bills single-handedly, draws up family budget and ensure the salary lasts up to next pay. You can not compare a single mother to a married woman who has support of a husband from home to paedriatic win

Single mother watch over her son/daughter all by herself and still make it to work next day and whenever the children begin to ask 'where is daddy?' she has to come up with an answer solid and wise enough for the sake of peace and to protect her children

Yet the society ostracizes the single mother and 'slut-shames' her! Why is she a single mother? Cant she keep a man? And how dare she have children before marriage? We dont know maybe she left an abusive marriage to protect her children from a violent childhood. Or we dont realize she is the parent who stayed when the man walked out on her and refused even to take care of the children. We dont even think may be she is a widow!

We dont celebrate single mothers enough because their strength and tenacity intimidate us and we are left wondering how can a woman possess so much strength? And when she decides to get herself out there and meet new man we tell her she is too old, used to get a man! She is damaged goods. That she has too much buggage and she should be happy alone.Some even say she doesnt deserve dowry! We give her side eye as if single mothers do not deserve love.

We call her a loose woman for having children by one man and going out with another yet we celebrate men with children from different women! This has to stop

I SALUTE ALL STRONG SINGLE MOTHERS OUT THERE

Source: The Citizen.

******* Pongezi kwa Single Mother**********




Wanachama mbalimbali wakielezea mahusiano yao mazuri na Single Mothers

********** Alivyozama kimapenzi kwa Single Mother*****





********* Mdau awaasa Wanaume wasiwanyanyase Single Mothers**********





******
I humbly appreciate and understand their capabilities indeeds,they fight hard
 
Mmmh tungekuwa tunawaappreciate hivi kila siku, daah mbona Ingekuwa poa sana. Some shoes are too big to fill, regardless waliamua kuwa single mothers or whatever. Kulea mtoto/ watoto on your own isn't a joke. Kuna muda hata uwe na pesa kiasi gani, unawish angekuwepo mtu tu wa kukushika mkono. Imagine una mtoto usiku kazidiwa ghafla unamkimbiza hospitalini Peke yako, unakesha alone hadi asubuhi, unatamani angekuwepo mtu (baba) hata akuhug tu na kukutia moyo but ndo hayupo

Heshima hizi za kipekee kabisa ziwaendee pia wanawake wote ambao wameolewa na " zaidi ya married singles". Mtoto anachokijua kuhusu baba yake ni surname aliyompa na sura ya mzee wake anayoiona akiamka asubuhi na akirudi kalewa chakari au kahamia kwa mama mdogo. Mama ndo anajua watoto wanakula nini, wanavaa nini, ada ya shule, wakiumwa na Kila kitu.

Mama akitetereka tu kidogo, basi watoto imewacost. Ila angalau hata hawa watoto wamepata neema ya kumuita mtu "baba". Respect to our mothers
Mimi Mama wa mwanangu ali amua mwenyewe kula kona,kwa sababu za hovyo,,ilinipa tabu sana ni isitoshe napenda wanangu na familia kwa ujumla,,2 years have gone by now,,sasa alipoondoka niliamua kumuacha na kila kitu mimi nikaanza upya,nikapanga eneo si mbali na aliko hamia yeye,,sasa one month later,mtoto alianza kuumwa ,,mchana akanipa taarifa kwakuwa nilikuwa kazini kwangu na nilikuwa peke yangu ,nikaenda jioni nikamcheki mtoto then nikateleza,saa tisa usiku anapiga simu mtoto kazidiwa,kwakuwa mimi ni Dr.nikabeba vifaa nikaita boda ,nikafika,kweli mtoto associated with high grade fever that scared,,,,,unajua kwanini aliita usiku ni kwa sababu alishazoea kipindi tunaishi pamoja mtoto akiumwa usiku kucha nabembeliza kila inapobidi yeye analala hata kama kunyonya simuamshi nampa maziwa kopo mpaka analala tena
 
Ukimuona MWANAMKE mwenye mtoto na hajaolewa usidhani hajatulia, kuna SABABU kubwa na wengi wao ni BEST WIFE MATERIALS halafu wapo strong wanafanya kazi kwa bidii na wanahakikisha watoto wao wanapata chakula KILA SIKU na wana mioyo ya dhahabu na wanajua KUPENDA. ❤
 
Single mother wapambanaji ni wachache Sana wengi ndio hawa wadangaji wa mjini
 
Wengi wana midomo michafu ndio mana wamekimbiwa...
Jitu unalea nalo mtoto unajitahd kadri ya uwezo halilidhiki kutwa kauli za kukera mwshowe baba unaona ukae nalo mbali tu....
 
Ila kiukweli mwanamke ndo mzazi sisi madume ya mbegu tunaweza kutia mimba na kula Kona ila mwanamke atapambana watoto mpaka watakua.
 
Wengi wana midomo michafu ndio mana wamekimbiwa...
Jitu unalea nalo mtoto unajitahd kadri ya uwezo halilidhiki kutwa kauli za kukera mwshowe baba unaona ukae nalo mbali tu....
They are sweet msipowabebesha mimba mkiwapa mimba wana.midomo michafu daah 😂😂😂
 
Back
Top Bottom