M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Niice
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Wakuu angalieni hilo mtindi. Na huyo mwanamke alivyomuangalia jamaa kwa mahaba ya hamu.Ngosha ametupa ushahidi usio na shaka yoyote kwamba mshangazi Penina mwenye watoto wawili amedata mpaka amemdhurumu uhai binti wa watu.
Sasa swali langu huyu ngosha si bwana mdogo tu? Je hajaona mabinti bikra au ambao hawajazaa?
Kwahiyo vijana wa JF acheni kutuhadaa nyuma ya keybord kuwaponda single mother kumbe mko tayari kufanya lolote kwa ajili ya mishangazi.
R.
na wewe ni single mother?tulipumzishwa,, kumekucha tena🙆🏾
hujakoseana wewe ni single mother?
oky basi ngoja nizame Pm nyie mna kitu vijana wanaliliahujakosea
😂😂😂😂 Hahahaha dahoky basi ngoja nizame Pm nyie mna kitu vijana wanalilia
Dogo hapa anatafuta makaratasi, hizi ni medani za kuishi uzunguni.
Apo uhakika mkuuDogo hapa anatafuta makaratasi, hizi ni medani za kuishi uzunguni.