Pongezi kwenu Single Mothers
Mkuu kwani wewe ni mgeni jf mitandaoni humu watu huwa wanatukana ili kutoa stress tu ila wengi hawamaanishi wanayoyaandika, ukisoma maneno ya humu mfano kuhusu kampeni ya kataa ndoa unaweza kudhani ndoa ndio basi tena, ila cha ajabu ndoa bado zinafungwa kila siku na wengi wanaoolewa ndio hao hao wenye hizo tabia mbovu ambazo wanaume wanazilalamikia na kuwatukania wanawake humu kila siku
 
Jada kwa akili hizi ni wewe tu unaeweza kunitoa kwnye kataa ndoa😊😊😊.
 
Jamiiforum wanaume hutumia neno singlemom kama tusi kwa binti/mwanamke yoyote.
Ukimkataa pm anakwambia ndio maana singlemom 😅😅 sasa unawaza huyu hata hanijui unakuta mtu mgumba unaambiwa singlemom
 
Sijaoa kabisa ila ni kataa ndoa kindakindaki.
Oohh we endelea kukataa ndoa mkuu, wakati ukifika mbivu na mbichi zitajulikana, Siku hizi wala hamna haja ya kutishana unaacha tu mtu aje ajionee uhalisia mwenyewe 😀😀
 
Njia rahisi ya kuepuka kuwa single maza ni kuacha uzinzi.

Hasara za uzinzi

Unakuwa dumber
Unakuwa na series of mikosi
Magonjwa ya Akili Kama stress ,worry ,fear na depression.

Na hasara mamba 1 ya uzinzi unakosa nuru hata ukiwa ni mzuri vipi wa sura unaishia kuwa dumber MTU wa kutumika na kuachawa.

Tulia usubiri kuolewa Kama unaendekeza uzinzi usitegemee huruma Sana Maisha yapo kwa ajili ya watu wenye discipline.

Uzinzi hauna faida yoyote ni kutokuwa smart kichwani kuwa mzinzi .

Jiulize kwanini mzinzi Ana uwezo wa kuwakumbuka watu wote aliofanya nao ngono ???
 
Msaada, NIONYESHE HATA MFANO MMOJA TU KWENYE BIBLIA WA MWANAMKE ALIEOLEWA AKIWA NA MTOTO.
 
Njia rahisi ya kuepuka kuwa single maza ni kuacha uzinzi.

Hasara za uzinzi

Unakuwa dumber
Unakuwa na series of mikosi
Magonjwa ya Akili Kama stress ,worry ,fear na depression.

Tulia usubiri kuolewa Kama unaendekeza uzinzi usitegemee huruma Sana Maisha yapo kwa ajili ya watu wenye discipline.
ili usiwe na F upate uwaziri acha kutania
 
Back
Top Bottom