Kuna msemo wa kizungu kwamba "the first bite is the deepest" huwezi kubadili feelings na passion ya mtu alie anza nae ata ufanye je yule atabaki mwoyoni mwake kama reference yake kwako, ili limenikuta ni kalikimbia mapema, ila naona rafiki zangu wawili hili linawatesa wale ma singo maza wao wana wapelekesha kila jambo family quarrals kila siku
leo nime watolea uvivu na nika wambia ukweli kulingana na nilio pitia mimi mwenyewe ni kiwa na singo maza, kwamba bora uumwe ugonjwa wa salatani hatua ya tatu kuliko kuoa hao watu walio zalishwa na wanaume wengine kwasbb cancer level three unameza tu vidonge vitatu kila baada ya mwezi na unapona, kuliko kero zao haziishi mpaka ufe au afe yeye, zinambukizwa ata kwa kizazi chako.