Kupitia huu Uzi wako unahisi wanajisikiaje single mothers.

Ni vizuri MUDA mwingine tuangalie how we can give them relief

We don't need to be too judgmental.
Pia tabia ya kuzalishwa bila kubakwa kwasbb ya tamaa za mali tuikemee sanaa, ni mbaya ni chanzo cha ukimwi wstoto wa mitaani nk.
 
Huna akili! Ingekuwa hivyo basi ungesema hata kuoa ambaye siyo Bikira nako ni taabu! Kwani kama hawezi kupoteza hisia hata huyo aliyembikiri basi atakuwa anakumbukwa!
 
Mada kama hizi zinanitisha mno, japokuwa mpaka sasa sijaona baya kwake na nilishawahi kupitia magumu sana lkn bado alikuwa bega kwa bega nami mpaka sasa na bado mambo yangu hayapo vzr lkn Cjawahi kuona ht akinidharau.
 
Kwa kifupi kuishi na mwanamke yeyote inahitaji hekima, utulivu, na maarifa sana, tofauti na ivo waweza kufanya jambo la kikatili sana.
 
Kwa leo usitegemee kama ntakuunga mkono kuna demu wa namna hiyo namvizia usije kuniharibia ngoja kwanza anikatae nikipata hasira ntarudi
Hilo basi unaendeshaga muda gani muda wote unatype humu
 
Mada kama hizi zinanitisha mno, japokuwa mpaka sasa sijaona baya kwake na nilishawahi kupitia magumu sana lkn bado alikuwa bega kwa bega nami mpaka sasa na bado mambo yangu hayapo vzr lkn Cjawahi kuona ht akinidharau.
Hapo bado anakulia timing tu, wanawake wananalengo yao ya mda mrefu, huenda mnapiga na jamaa yake wa zamani.
 
Acha wapelekeshwe
 
Kama mwezie walie achana alikuwa anasimamia vidole inabidi wew uaze kusimamia kucha.uchimbe haswa
 
Hapo bado anakulia timing tu, wanawake wananalengo yao ya mda mrefu, huenda mnapiga na jamaa yake wa zamani.
Mkuu, nlifukuzwa kazi tangu mwezi wa 4 mpak sasa sijapata kazi nipo nipo tuu mara nyingi tuu yeye ndio anatoa pesa ya kula, hapo bado tuu ananilia timing tuu?
 
Mkuu hivi kweli unataka kufananisha IUgonjwa na vitu vya hovyo, huyo mwanamke unaachana nae tu, hivi unaijua saratani vizuri mkuu, katika vitu navyoogopa katika maisha ni magonjwa acha mkuu,
 
Bikra muhimu
Muhimu bikra
 
Aisee kwahiyo mother hawastahili second chance?
Women are not fools, they do all this partying and hoe stuffs because they know there are innocent nice guys out there like ypu who will still marry them. Judging a woman harshly by her past atleast will give sense to other un-demaged women to take care of themselves.
 


Usiwe hivyo mkuu
 
Absolutely.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…