You nailed it boss
 
Mwanamke akishazalishwa anakua anajituma Sana kwenye mapenzi. Sijui hata kwa Nini.
 
Single mother ni wanawake wazuri, ila itafika sehemu mwanaume utaanza kuishi kwa wasiwasi sana. Mi kuna mashangazi zangu ni single mothers waume zao wanaishi kwa wasiwasi miaka yote hawana amani na ndoa zao kabisa,

Sikushauri kumwacha, ila maisha yako yote yatakuwa na wasiwasi sana na hakutakuwepo na furaha ya watoto kama familia, muda utaongea kila la kheri!
 
Leo nataka nitoe somo kwa jamii forums members.

Single maza ni mwanamke aliyezaa na mwanamme ambaye haishi naye as a family, i mean ni mwanamke anayeishi na watoto/mtoto kwa nyumba. Kuna sababu nying sana zinazosababisha hali kutokea kwa mwanamke... inawezekana ikawa

1. Mwanamme katelekeza family

2. Mwanamme alidate na mwanamke asiyekuwa kwenye ndoto zake.

3. Harakat za maisha.. kutokujipanga kwa mwanamme kupelekea mimba zisizotarajiwa.

4. Kuvunjika kwa ndoa kwa sababu tofauti.

Mara nying single maza n mwanamke ambaye anapitia changamoto nying sana... wengen wamekuwa ivyo kwa sababu ya much know wao.. wengne ni kwa sababu ya much know wa mwanamme.

Mapenz ya single maza.
Single maza uwa hawanaga mapenz ya kugandana san.. uwa wameamua kuishi kwa style ya maisha hayo na hawaoni hatari kutembea na mwanamme siku moja na kumpotezea mazima.

Nina experience na single maza weng hawapend shida za mapenz kujirudia maishan mwao...


My take.
Tuwaliwaze single maza ila tuwe makin nao coz weng wana majeraha ya mapenzi...
 
Hongera kwa kuzama na kuyafurahia mahabati mkuu. Ila halahala usije ukamfanya tena singo mother kwa mara nyingine Halafu ukambwaga. It will not be fair ooo (in Nigeria's voice).
 
Hongera mkuu
 
Huyo anapoza machungu baada ya kuachwa, subiri uone akiona huna msaada kwa mwanae..!
 
Niwapongeze wachangiaji wote pamoja na mleta mada
Kunakitu nimejifunza.
 
Aya mzeee
 
Ki ukweli kabisa ukitaka kufurahia ngono chukua singo maza
Na ukitaka kuishi kwa stress basi kaoe singo maza
Singo maza ni watamu kwa kujiburudisha tu na sio kwenda mbele zaidi ya hapo
Labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…