Pongezi kwenu Single Mothers
Wakuu za siku nyingi aisee

Bhana kumekuwa na thread za kuwananga hawa masingle mother kwa tabia zao za kurudi kwa wanaume walio wazalisha wanasema kukumbushia enzi.

Bhana mdogo wenu ndio nimejikuta nimezama huko napata mapenzi 24/7 sijutii kuwa na huyu mwanamke kama wengi wenu mnavo wazungumzia.

Naapa sijawahi enjoy mapenzi kama wakati huu sijawahi kuwa na gf mwenye real love kama huyu, sijawahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke anayejielewa na mwenye mawazo chanya kama huyu.

Sijawahi pata maendeleo kama niliyo nayo kwa huyu mwanamke (nimefungua biashara kwa ushauri wake)kabla ya hapo pesa angu sikujua inapoendaa nilijua na mikosi plus gundu kumbe nilikuwa sijapata mtu sahihi kwenye mahusiano.

Kusema ukweli sijawahi enjoy ngono kama wakati huu mtu wangu yupo so open sio kama vibinti vya chuo nadekezwa mie.

Before nilikuwa najua papuchi kavu ndio nzuri lakini saivi napenda inayolowa
Huyu single mama papuchi yake inaloa hadi raha sipati tena michubuko kwenye dushe langu.

Naenjoy naona kabisa anavyofika kileleni sio zile fake organism za vibinti.

Hii iwaendee wote wanaowaponda single mothers, nyie mkiwaona wa nini kuna watu kama sie tunawahitaji.
vipi bado upo nae??
 
Wanaume wenzako watakuponda mkuu kuhusu ulivyozama kwa single mother jilie mema ya nchi mkuu maisha yenyewe mafupi haya

Ukipendwaa pendeka
Na Mimi nataka mema ya nchi.

😎😎😎😎😎😎
 
[emoji1787] Njo kwa single mother mimi ujilie mema ya nchi [emoji847]
Hebu nielekeze, nafikaje kwa singo maza wewe? Mji mkubwa huu, sikawii kupotea!

😎😎😎😎😎😎
 
Kitendo cha kumuita mpenzi wake single mother ameshakosea
Umeona mkuu..watoto bana mambo yao mengi sana..
Halaf kamchora chora hovyo kwel yan..Mara "papu.. nn sijui inafanyaje. aah.."
Yan umemuabisha kwakwel licha ya kuwa hatumjui.
 
Ngoja yakukute Kaka hawa viumbe sio wakuwaamini hivyo...ila ki ukweli single mamaz n watam af kutoa mzgo hawazungushi Kama hivi vidadaz
 
Habari wanajamii wenzangu!

Kuna wimbi kubwa sana katika jamii hasa hapa Jf kuwaona single mother kama watu waliopoteza dira, wasiotakiwa kuolewa tena. Kumetokea mada mbalimbali ndani ya hili jukwaa kuhusiana na hawa wanawake wa aina hii!

Hakuna sababu ya kuwadharau hawa watu wa jinsi hii. Waliwapata hao watoto kwa kukutana na wanaume wasiokua waaminifu. Kabla hujamtupia kombora jua kuna Mwanaume nyuma ya huo usingle mother tena niseme mwanaume dhalimu.

Na mbaya zaidi kuna hadi wanawake wanaowaponda single mother. Unamponda single mother aliyekubali kulea mimba wakati wewe umechoropoa mimba kibao? Au pengine hata hiyo mimba huna uwezo wa kuibeba?

Tuwe na usawa hapa, na kwa wewe unayeomba ushauri wa kuoa single mother ndani ya hili jukwaa, jitathmini sana, kama hutafanya hivyo kwasababu ni single mother make sure unayekuja kumuoa ni bikra. Kama sio na wewe jua tu umeoa single mother indirect way.

Wanawake wengi wanapitia madhila/mazingira mbalimbali, ikiwemo kudhulumiwa, kudanganywa n.k

Dhana ya kwamba ukioa single mother ni lazima achepuke na mzazi mwenzake haina mashiko, inakuwaje sasa ukioa asiye single mother lakini ana ma ex kibao? Mara ngapi zinakuja hoja hapa za wanaume kutembea na ma ex wao ambao wako ndani ya ndoa?

Let Love lead, hayo mengine yasiadhiri mahusiano ya watu.

Stop hatred to single mothers, wanahitaji kupendwa, wanahitaji kuheshimiwa. Nawasihi sana wasiwe waoga wala kuwaficha watoto wao kwa vigezo vya kutendwa, kuachwa au kubaguliwa.
 
Single mom tuna Upendo hatuwezi kuua ndio maana tulivyobeba mimba hatukupenda kutoa na tukalea.

Na wengi wao wanaoponda single mom unakuta hajalelewa na Baba yake mzazi palipo single mom jua kuna single father.

Nimeshuhudia wadada wengi wakitoa ujauzito bila huruma so kwa niaba ya single mom wala msione Haya wala kujisikia vibaya walochomoa ni mama wa marehemu sisi wa kwetu wapo hai.

Single mom kuolewa wanaolewa sana Na tunapendwa sana tu

Wanaotusema vibaya ni wapumbavu hawajiewi
 
Single mom tuna Upendo hatuwezi kuua ndio maana tulibeba mimba tukazaa na tukalea.

Na wengi wao wanaoponda single mom unakuta hajalelewa na Baba yake mzazi palipo single mom jua kuna single father.

Nimeshuhudia wadada wengi wakitoa ujauzito bila huruma so kwa niaba ya single mom wala msione Haya wala kujisikia vibaya walochomoa ni mama wa marehemu sisi wa kwetu wapo hai.

Single mom kuolewa wanaolewa sana Na tunapendwa sana tu

Wanaotusema vibaya ni wapumbavu hawajiewi
Exactly. Binafsi Nilishaomba msamaha kwa Mungu kwa mimba nilizosababisha na kuzichoropoa.
 
Back
Top Bottom