NB:-
Msimamo wangu, hatutaenda kukaa kwake Mbweni, atakuja kukaa kwangu Mwananyamala kwa Mama Zakaria.
Sistatumia gari yake, tukitaka kusafiri pamoja ni daladala au bajaji au bolt.
Vitegauchumi vyake ni vyake. Wakurya hatuzinguliwagi kiboya
[emoji3] Jiamini, sawa kakuzidi kila kitu lakini huwezi mtoa kwenye mazingira bora umlete huko uswahilini kwanza nyie mwili mmoja kwanini uanze kujitenga mapema sana
Wewe kama huna pesa au kazi cha kufanya badili gari moja usajili utumie kwa biashara, ila kama unazo pia woga wa nini kakae kwa mkeo huyo ila mimi nisingekaa sema ningetafuta apartment nzuri tungekaa hapo halafu io nyumba yake ipangishwe sio kumpeleka uswahilini huko.
[emoji3] Kuhusu mahari we lipa tu, hamna namna kwani mmewe bado yupo hai?