Pongezi kwenu Single Mothers
Ndugu zanguni, Nawatakia Heri na Fanaka kwenye mwaka mpya ujao 2023.

Mimi ni kijana barobaro, nisiye na gari wala nyumba ya kifahari, wala mashamba wala degree kama nyie wenzangu mlivyo jaliwa.

Shughuli zangu ni ndogondogo na nina kiosk cha kuuza vinywaji baridi hapo Coco Beach.

Kilichonilete kwenu ni kwamba, hapa jukwaaani imetokea kupendana na binti mrembo mmoja matata sana, binti ana degree zake mbili, magari mawili, nyumba kali ya ghorofa pande za Mbweni, na watoto wake wawili.

Mimi sina nyumba, sina gari, sina elimu nona mtoto mmoja tu niliyempata ujanani.

Huyu binti ninataka kumuoa sio kwa ajili ya ufahari alionao, nataka nimuoe kwasababu nampenda sana.

Leo ndio siku ya mimi kwenda kutambulishwa kwao, na katika vitu ambavyo vitanifanya nionekane mtoto mbaya ni msimamo wangu na mtazamo wangu juu ya nadharia nzima ya mahari.

Mimi nafahamu kwamba mahari tunalipa ili kuwashukuru wazazi kwa kumlea vyema binti yao. Sasa limwanamke limezalishwa na mianaume miwili tofauti, nilipe mahari ya nini?

Au nyie wana nzengo mnasemaje?

NB:-
Msimamo wangu, hatutaenda kukaa kwake Mbweni, atakuja kukaa kwangu Mwananyamala kwa Mama Zakaria.

Sistatumia gari yake, tukitaka kusafiri pamoja ni daladala au bajaji au bolt.

Vitegauchumi vyake ni vyake. Wakurya hatuzinguliwagi kiboya
Kwani ukienda kununua bidhaa used huwa hauilipii? Watu mnatumia simu kama iphone, samsung, google pixel, sony n.k ambazo unajua kabisa ni refurbished na bado unalipia pesa ndefu tu .

Nadhani hata yeye ni binadamu we lipi mahari mzee acha kelele , tena kumbe hata wewe una mtoto mmoja sio mbaya mechi imeanza angalau 1-0
 
Ndugu zanguni, Nawatakia Heri na Fanaka kwenye mwaka mpya ujao 2023.

Mimi ni kijana barobaro, nisiye na gari wala nyumba ya kifahari, wala mashamba wala degree kama nyie wenzangu mlivyo jaliwa.

Shughuli zangu ni ndogondogo na nina kiosk cha kuuza vinywaji baridi hapo Coco Beach.

Kilichonilete kwenu ni kwamba, hapa jukwaaani imetokea kupendana na binti mrembo mmoja matata sana, binti ana degree zake mbili, magari mawili, nyumba kali ya ghorofa pande za Mbweni, na watoto wake wawili.

Mimi sina nyumba, sina gari, sina elimu nona mtoto mmoja tu niliyempata ujanani.

Huyu binti ninataka kumuoa sio kwa ajili ya ufahari alionao, nataka nimuoe kwasababu nampenda sana.

Leo ndio siku ya mimi kwenda kutambulishwa kwao, na katika vitu ambavyo vitanifanya nionekane mtoto mbaya ni msimamo wangu na mtazamo wangu juu ya nadharia nzima ya mahari.

Mimi nafahamu kwamba mahari tunalipa ili kuwashukuru wazazi kwa kumlea vyema binti yao. Sasa limwanamke limezalishwa na mianaume miwili tofauti, nilipe mahari ya nini?

Au nyie wana nzengo mnasemaje?

NB:-
Msimamo wangu, hatutaenda kukaa kwake Mbweni, atakuja kukaa kwangu Mwananyamala kwa Mama Zakaria.

Sistatumia gari yake, tukitaka kusafiri pamoja ni daladala au bajaji au bolt.

Vitegauchumi vyake ni vyake. Wakurya hatuzinguliwagi kiboya
inabid akulipie mahari ww maana atakuoa🤣😇😅
 
Unapokua single mother unatakiwa kujua kuwa wajibu wako wa kwanza katika maisha yako ni kwa mwanao/wanao, mwanaume anakuja baadaye hivyo wakati ukitafuta mwanaume ni lazima uhakikishe kuwa atakua tayari kukuchukua wewe na mwanao, nyie ni kama mwili mmoja, ni mwanao hivyo anatakiwa kulikubali hilo. Kama halikubali hilo basi muambie kwa heri kwani wewe tayari una mtoto na huwezi kumrudisha tumboni.

Najua wadada wengi wanapenda kuwaacha watoto wao kwa bibi zao, si jambo baya kama mnawaacha kwa mapenzi na si kwakua wanaume hawataki. Mtoto anahitaji malezi ya Mama na kusema kweli kwa kiasi kikubwa watoto wengi wanaharibikiwa kwa kutelekezwa kwa Bibi hasa wakijua Mama zao wapo hai na hawataki kuwachukua. Ni jambo moja kama mtoto mwenyewe anapenda kukaa na Bibi yake na ni jambo jingine kabisa kama mtoto haruhusiwi kukaa na Mama yake.

Labda nikuambie tu kuwa kuna mambo mawili, Mama yako atazeeka na kushindwa kumlea lakini pia hataishi milele, hembu tuchukulie akitangulia yeye ( najua hamna mtu anayependaila ni lazima) huyo mtoto atakuja kuishi na nani? Si utalazimika kumchukua je mwanaume kama huyo atakubali kumlea wakati alsihamkataa? Lakini ukatangulia wewe, Mama yako naye akakufuata je huyo mwanaume anaweza kumlea mwanao au ndiyo mwanao anaenda kuwa ombaomba?

Hembu muangalie mwanao zaidi, alishakataliwa na Baba yake mzazi, umebaki wewe Mama yake, kama nawewe ukimkataa eti kisa mwanaume wako hamtaki utakua na tofauti gani na huyo Baba yake ambaye alimkataa, lakini ukimkataa na wewe ataenda wapi? Atajisikiaje? Yeye ni bado mtoto, hembu kumbuka ulivyojisikia siku ulipotelekezwa na Baba yake, sasa yeye ni mtoto unafikiri atajisikiaje kama akijua katelekezwa hatakiwi na Baba yake halafu tena na Mama yake unamkataa?

Hapana kama mwanaume hataki kumkubali mwanao basi tupa kule, kama hawezi kuishi na wewe pamoja na mwanao basi hapaswi kuwa mume wako kwani wewe tayari una mtoto. Muambie kabisa wewe una mtoto hivyo aende tu akatafute hao ambao hawana watoto aoe (ni ngumu ila ndiyo ukweli) kumbuka hapo sio kwamba hataki kukusaidia kulea bali hataki hata wewe uwe karibu na mwanao, hivyo kwa maoni yangu huyo si mwanaume sahihi na hihitaji ndoa na mwanaume wa namna hiyo.
 
Kwa heshima na taadhima leo nipo pamoja na Single Mothers, wanapitia mengi sana maana si Me wote wana tabia njema isipokuwa wengine ni Wavulana.

KUBALI NDOA KWA MAISHA BORA YA FAMILIA.

NDOA NI BARAKA ZA KIZAZI CHAKO CHA TATU HADI CHA NNE.

KATAA USHOGA NA SERA ZA LESBIAN MAANA NYUMBA ZITANUKA VINYESI TUPU.
 
Alhamdullilah tunapendwa mimi na mwanangu.
Sijawahi kukumbusha ada ya shule wala mahitaji ya shule huwa napewa kabla ya tarehe bila kukumbusha.
Mtoto hajawahi kupungukiwa mapenzi ya baba wala material thing.
Tuna maisha ya amani na furaha sana.
Mungu atulinde wote.
 
●Single mother waache kudekeza watoto wao

●Kama baba mzazi hamuhudumii mtoto mwambie sio wake ili aache usumbufu inakera saana una kuwa na mke alafu kuna tahira moja linakuwa linajisifu kwa watu "yule mtoto wa mke wa fulani ni wangu"
.inauma saana mkeo anaitwa Wifi na dada wa mzazi mwenza [emoji21]

●Wawafundishe watoto wao kuwa na nidhamu mtoto akiwa na tabia njema humvutia kila mtu

Mtoto akiwa na akili na nidhamu hawezi kukosana na baba yake mlezi
By nature hakuna mwanaume anaependa mtoto mjinga na kilaza

@Always single mother huwalea watoto wao hovyo
 
Sio wote
 
Unapokua single mother unatakiwa kujua kuwa wajibu wako wa kwanza katika maisha yako ni kwa mwanao/wanao, mwanaume anakuja baadaye hivyo wakati ukitafuta mwanaume ni lazima uhakikishe kuwa atakua tayari kukuchukua wewe na mwanao, nyie ni kama mwili mmoja, ni mwanao hivyo anatakiwa kulikubali hilo. Kama halikubali hilo basi muambie kwa heri kwani wewe tayari una mtoto na huwezi kumrudisha tumboni.

Najua wadada wengi wanapenda kuwaacha watoto wao kwa bibi zao, si jambo baya kama mnawaacha kwa mapenzi na si kwakua wanaume hawataki. Mtoto anahitaji malezi ya Mama na kusema kweli kwa kiasi kikubwa watoto wengi wanaharibikiwa kwa kutelekezwa kwa Bibi hasa wakijua Mama zao wapo hai na hawataki kuwachukua. Ni jambo moja kama mtoto mwenyewe anapenda kukaa na Bibi yake na ni jambo jingine kabisa kama mtoto haruhusiwi kukaa na Mama yake.

Labda nikuambie tu kuwa kuna mambo mawili, Mama yako atazeeka na kushindwa kumlea lakini pia hataishi milele, hembu tuchukulie akitangulia yeye ( najua hamna mtu anayependaila ni lazima) huyo mtoto atakuja kuishi na nani? Si utalazimika kumchukua je mwanaume kama huyo atakubali kumlea wakati alsihamkataa? Lakini ukatangulia wewe, Mama yako naye akakufuata je huyo mwanaume anaweza kumlea mwanao au ndiyo mwanao anaenda kuwa ombaomba?

Hembu muangalie mwanao zaidi, alishakataliwa na Baba yake mzazi, umebaki wewe Mama yake, kama nawewe ukimkataa eti kisa mwanaume wako hamtaki utakua na tofauti gani na huyo Baba yake ambaye alimkataa, lakini ukimkataa na wewe ataenda wapi? Atajisikiaje? Yeye ni bado mtoto, hembu kumbuka ulivyojisikia siku ulipotelekezwa na Baba yake, sasa yeye ni mtoto unafikiri atajisikiaje kama akijua katelekezwa hatakiwi na Baba yake halafu tena na Mama yake unamkataa?

Hapana kama mwanaume hataki kumkubali mwanao basi tupa kule, kama hawezi kuishi na wewe pamoja na mwanao basi hapaswi kuwa mume wako kwani wewe tayari una mtoto. Muambie kabisa wewe una mtoto hivyo aende tu akatafute hao ambao hawana watoto aoe (ni ngumu ila ndiyo ukweli) kumbuka hapo sio kwamba hataki kukusaidia kulea bali hataki hata wewe uwe karibu na mwanao, hivyo kwa maoni yangu huyo si mwanaume sahihi na hihitaji ndoa na mwanaume wa namna hiyo.
Kaka pukuza hasira.
 
●Single mother waache kudekeza watoto wao

●Kama baba mzazi hamuhudumii mtoto mwambie sio wake ili aache usumbufu inakera saana una kuwa na mke alafu kuna tahira moja linakuwa linajisifu kwa watu "yule mtoto wa mke wa fulani ni wangu"
.inauma saana mkeo anaitwa Wifi na dada wa mzazi mwenza [emoji21]

●Wawafundishe watoto wao kuwa na nidhamu mtoto akiwa na tabia njema humvutia kila mtu

Mtoto akiwa na akili na nidhamu hawezi kukosana na baba yake mlezi
By nature hakuna mwanaume anaependa mtoto mjinga na kilaza

@Always single mother huwalea watoto wao hovyo
Daaa yani acha bro mtu umeoa ,
Afu dada wa mzazi mwezie wa mkeo.
Wanamwita mkeo wifi, Dada zako nao wanamwita wifi.
Mgeni amekuja kwako au watu wanakuuliza unawatoto wangapi wewe unasema nina 2 na huyu mwingine ni mtoto wa mke wangu.
Mara Baba wa mtoto anakuja kwako kumuona mwanae.
Mara mkeo anampeleka kwa baba yake, Mara kwa Shanghai zake na bibi na babu zake wa mwanaume wake.
Kuna mtu ndani humu nimewahi kumsikia anasema ukioa single maza. Kubali kuwa mume mwenza.
Kwa kuwa mkeo akitana kuongea na mzazi mwenzie kuhusu mtoto wao uwezi kataza.
Yani mimi kuwa na familia ya namna hio naona kama abibu hivi.
Mimi siwezi wala.
MUNGU HAWABALIKI MNAOWEZA.
 
Back
Top Bottom